OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Ndio maana ikawa na mbili, consideration ni pts za mwishoNyumbu yuko nafasi ya tano anakueaje UEFA confirmed?
Hata mcheze 20 kipigo leo kipo pale pale [emoji23][emoji23]Leo twende na mfumo gani 3-4-3 au 4-3-3?
Naona una avatar kabisa ya Kai umetisha mzeeLeo nashinda vizuri tu nasitaki niskie eti umebebwa na liva kisa ameshakuwa bingwa
Huyo defender vip Ni mazuri?Habari ya mjini ndio hii
View attachment 1513546
Huo Ni mtazamo wake binafsi sio sheriaKatika combined starting 11 ya leo Chelsea imewatoa wachezaji watatu tu
Combined starting 11 Liverpool + Chelsea
Another match ambayo tunaingia kucheza tukiwa underdogs
- GK Alisson
- RB TAA
- CB1 Azpi
- CB2 VVD
- LB Robertson
- CM1 Kovacic
- CM2 Fabinho
- CAM Pulisic
- RW MO Salah
- Striker Firmino
- LW Sadio Mane
Firmino anawekwa zaidi ya Giroud ambaye tangu turudi likizo ya Corona ana magoli 5 tayari wakati Firmino sijui goli lake la mwisho alifunga lini?
Liverpool ana struggle Sana dhidi ya team inayodefense so mfumo wa 3-4-3 ndio sahihi kwa hii game.Leo twende na mfumo gani 3-4-3 au 4-3-3?
Kwa nini umesema hivyo, je wanaumwa?Ulikuwa Kwenye mawazo yangu twende na 3- 4 - 3 ni mfumo wa ulinzi shirikishi. Ila kuna wachezaji wetu kama (Mount, Alonso, Kovacic) hawatakuwa kwenye ubora ule wa mechi ya juzi.
Punguza unazi, utakuja kuumbukaSababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League!!
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
- Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
- Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
- Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
- Liverpool
- Man City
- Chelsea
- Man United
- Tottenham Hotspurs
- Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)
Vipi umepewa kitengo hapo UEFA utupasishie na siye tugawane umaskini? [emoji3][emoji3][emoji3]UCL plus Europa EPL teams for 2020/21 season confirmed
- Liverpool - 93pts - UCL confirmed
- Man city 78 pts - UCL confirmed
- Chelsea - 63 pts - UCL/Europa confirmed
- LFC - 62pts - UCL/Europa confirmed
- Man United 62pts - UCL/Europa confirmed
- Wolves - 59pts - Europa confirmed
- Tottenham - 58pts - Hot Spurs - Europa confirmed
- Sheffield United - 54pts - OUT
- Burnley - 54pts - OUT
- Arsenal - 53pts - OUT
Kwa lile mbanga dhidi ya Man U kwa mfumo wa 3-4-3 tunaweza kutoboa.Leo twende na mfumo gani 3-4-3 au 4-3-3?
Kama wewe ulivyoumbuka janaPunguza unazi, utakuja kuumbuka
Game haina umuhimu ile, sisi wazee wa Big games, utopolo km ule hatujichoshiKama wewe ulivyoumbuka jana
Vp unajisikiaje baada ya jana kutobolewa na timu ambayo ipo kwenye danger zoneKusanya mataji yako mpaka ya championship lete tupige hesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona simple tu.
Ni addition na substraction tu[emoji95]
Bange haikupendi ENZO ungejaribu hata majani ya mpapai kama ni lazima uvute[emoji23][emoji23][emoji23]Mnapata wapi nguvu y kubishana na wavuta bangi, kweli mnabishanaje na shabiki wa Arsenal?! mwisho wa siku na nyie mtaonekana wavuta bangi. Mnaacha kubishana na big4 wenzenu mnabishana na midtable!!!
Mnabishana na timu ambayo ni mchezaji mmoja tu ndio anapata namba 1st eleven pale chelsea, Auba peke yake ndio mchezaji pale arsenal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wale wanaobet, ODDS za Arsenal kushinda FA ni ndogo kuliko za Chelsea kushinda
Makampuni mengi ya kubeti wanatoa hii average ODDS
Arsenal kushinda ni 3.40 maana yake unapokea mpunga mkubwa kwa sababu Arsenal kushinda ni miujiza
Arsenal na Chelsea kudroo ODDS ni 3.50 bado watakaobeti kwenye hii watapokea mpunga mkubwa kwa sababu nayo droo ni miujiza ya msimu
Chelsea kushinda ODDS ni 2.26, mpunga ni mdogo kwa sababu inajulikana kuwa Chelsea atashinda. Period
Arsenal walipoteza nafasi yao ya kushiriki mashindano yao ya Europa kwenye mechi na Aston Villa jana
Lazma tuwanyukearsenal yeye anasubr fa akishinda tu fa it means ataenda ueropa so game ya fainal itakua ngumu coz ndo only way arsenal to play ueropa