Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mzee unachofeli unamfananisha winger na kiungo mshambuliaji ( no.10) nafikiri ingefaa umfananishe kai na ozil au de bryne au Bruno though pia huyo dogo ni kiraka hata winger anacheza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
apo nmezungumzia kma wings coz mech zingine Leverkusen anacheza Kama wings so nmecompare akichez wings
Upnde wa kiungo nhic mount atacheza
 
That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 8
Pointless... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikipidi hivyo QPR ingekuwa club kubwa,
Azam ingekuwa kubwa kuliko Simba na Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bangi za chooni mbaya sana, unavuta harufu ya mavi na moshi kwa wakat mmoja. Eti Arsen88 timu kubwa??? dah! .......
Wewe naona ushalikoka tayari bhangi iliyomixiwa na mavi, mpaka unajiaminisha ujinga
 
Ona aibu basi [emoji851][emoji851] miaka 17 ni umri wa kijana anaelekea kumaliza elimu ya sekondari. Ulikua unafanya nini miaka yote hiyo? Sijaribu kuku catch mimi nafanya yangu ambayo wewe yalishakushinda
Sasa wewe si ulikaa 50yrs???
Sasa miaka yote hiyo si mtu anajukuu kabisa, unacheka kibanzi wakati una boriti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mpaka sasa umekaa miaka mingapi unasaka EPL? And still counting..... [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo 17 ni sawa na 50????
Hesabu za chekechea tu zinakushinda???? [emoji57][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo link hata wewe unaweza kuandika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo kumwembe akiandika makala pale mwanaspoti ndio inakuwa sheria kwako????

Nonsense
 
Nilichopenda dirisha hili ni jinsi lamp n cech walivyo na uwezo wa kuongea na player tunaowahitaj na kuwavutia waje kwetu
 
Ukubwa wa klabu yangu hauhitaji pk nisome hizo link,ukubwa wetu hata kwa macho ya mwili tu unaonekana,we endelea kutafuta ukubwa kwny pepa.
Hawajielewi hao, wanaforce heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepambana wao wanataka mserereko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utopolo kama Utopolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kibonde wewe nakupasua First half tu,Hatujawahi poteza final ya FA dhidi ya midtable nyie, ilo kombe huwa letu pk wameliita Emirates FA cup[emoji3][emoji23]
Kwanza wao wamechukua 8 sisi 13 hawa sio wa kupigizana nao kelele,
 
Mwaka uliofuata tukachukua ndoo
Wao wamemsajili Pepe na Auba wakaishia Europa bila kombe
Nakuambia Auba anajuta katika maisha yake kwenda Arsenal kama ambavyo Di Maria alijuta kusajiliwa na Manure, too bad!!
Hujielewi, mtu anajuta vipi kusajiliwa na timu kubwa??? [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Manure utafananisha na Chelsea de UTOPOLO acha mambo yako bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Giroud kaenda fc kobe ya London kumalizia soka baada ya kutemwa na Arsenal??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…