Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cheltako bado ni takataka na itaendelea kuwa takataka kama takataka nyengine [emoji848][emoji848]
 
Viazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kutobolewa ndo unaandika hizo pumba zako
Viazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Baada ya kufungwa ndo unasingizia kuwa walibet
 
Haki vile uchawi upo yani takataka Cheltako imfunge Man utd [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Viazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Timu yetu Takataka imeifunga MAVI...yaan Jana tuliwakosakosa mlikuwa mle mkono nyie
 
Viazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Sawa. Kama sisi ni timu mbovu na tumebahatisha basi ninyi ni timu mbovu, mara elfu. Maana hata kubahatisha hamjui!
 
Hapo ulipo nazani unajua ukweli SEMA tu unajipa moyo na Chelsea kawaida hamalizi msimu bila kupata kombe.
Unayo mangapi mpaka sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa[emoji3]
Na ndio mngekuwa king of london, ila kwakuwa hamna mataji ya kutosha nyinyi mnabaki kuwa kama Brighton tu[emoji23]
 
Kwani Westham aliyekugonga 3 anashika nafasi ya ngapi? Au ndio bingwa wa ligi???? [emoji23]
 
Ila wale kina Rudiger hawawezi kufanya mistake na kina Auba wakafunga eeeehh[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unaongea kama siku hiyo hatutakuwa na striker kali duniani,
Subirini mkamilishe ratiba, sisi hilo kombe tuna DNA nalo
 
Na game ya Liver??? [emoji23][emoji23][emoji23]Kilio chenu kitakuwa kikubwa sana
 
Muwe mnaangalia mipira sio stori za vijiweni[emoji57]
Game ya kwanza mlishinda kwa mbeleko baada ya refa kuwabeba vya kutosha mlitakiwa mmalize pungufu kabisa jorginho alicheza rafu nyingi sana na refa akawa anaangalia tu,
Game ya pili tuliwapigisha kwata pale Emirates tukiwa pungufu kwa muda mrefu na mkafanikiwa kupata suluhu kwa shida, huku bwana mdogo u18 Gabriel Martinelli akiwatungua goli la msimu la EPL.

game ya baku ni wazi Cech aliuza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…