OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
James Delicious wewe na shoga ako Mc cane huwa vinyeo vyenu vinawasha washa mnapenda niwe nawakuna ee?Amberruti ni Olechuga, nafikiri atakua anagawa tu sasa hivi, si unajua yule beki hazikabi
Endeleeni kuweka kambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ollachuga na yule sijui Papa Gx walizidi tarumbeta sana na kujifanya watabiri leo wamenyooshwa kisawa sawa wamekimbia jukwaa ,na hapa sisi hatutoki tunapiga kambi mpk asubuhi ...
Shindeni kama sisi nafasi ya tano bado inawapenda.Ollachuga akijiza mnistue
Munaelekea top three kufanya nini[emoji23][emoji23][emoji23]Chelsea Lives Matter...!!
Chelsea umekimbia kijiwe chenu, tunaelekea top 3.
GGMU[emoji123][emoji123]
Twende na United, Twende na Ole
Kwa namna yoyote lazima nichukue namba 3... Angalia ratiba yako halafu angalia ratba yangu.Shindeni kama sisi nafasi ya tano bado inawapenda.
Sawa hongereni tayari muna nafasi ya tatu..Kwa namna yoyote lazima nichukue namba 3... Angalia ratiba yako halafu angalia ratba yangu.
Tukipata point 3 tu katika gem zijazo tutakuwa na uhakika 100% wa kubaki top 4, kumbuka gem ya mwisho wanakutana Man u vs Leister cityChelsea bado tuko pagumu sana
Tukipata point 3 zaidi tuna uhakika wa 90% ya kubaki top 4
Sasa kupata hizo points inahitaji extra miles commitment ya wachezaji
Utabiri wa top 4
3. Man United – 66 points
4. Chelsea – 64 points
Europa League qualification
5. Wolves – 62 points
6. Leicester City – 60 points
7. Tottenham – 59 points
8. Sheffield United – 59 points
Lakini si ndio anatimiza majukumu yakeNadhani kwa kufunga goli
Wewe umebaki na wolves na Liverpool.Tukipata point 3 tu katika gem zijazo tutakuwa na uhakika 100% wa kubaki top 4, kumbuka gem ya mwisho wanakutana Man u vs Leister city
Wolves atajitahidi kukaza sana. Matokeo ya leo ya Burnley na Wolves yatadetermine kwa asilimia kubwa kati yetu na wao.HONGERENI SANA SANA WANA BLUES KWA POINT 3 MUHIMU.
Kwa uchovu wa jana nilishindwa kuangalia game, but nilikuwa na imani kabisa tutashinda.
Zimebaki mechi mbili ngumu Liverpool & Wolves. Tutazivuka kwa Zaburi ya 23.
Timo umemuona akicheza?usije hapa ukaamkataa ukaanza kusema bora ya Giroud tena, we shukuru umeoata point3 dhidi ya timu dhaifu iliyokwishapoteza matumaini kwa ushindi finyu[emoji23]Bado timu haikucheza vizuri
Pamoja na kufunga Giroud kaboa sana
Mipira haiendi mbele na zikienda mara chace zinapotea hovyo
Natamani krosi za Willian na James pamoja na za Azpi na Alonso zingekuwa zinamkuta mtu kama Timo
Kwa mchezo tuliocheza leo tukikutana na Wolves au Liverpool tumeliwa
Tuombe tu Mungu Kante atakuwemo
Chelsea ikitoka top 4 sitaumia hata kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kila mwamba ngoma uvutia kwakeTop 4. 1 Liverpool 2.man City 3.Man utd 4.wolverhampaton . Hifadhini hawa maneno [emoji39]