Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ARTHUR MELO VS PJANIC

Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.

Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
Hawana technical director mzuri.
 
Dirisha linafunguliwa Tarehe 15 July na litafungwa tar 5 October 2020 mpo hapo!
 
ARTHUR MELO VS PJANIC

Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.

Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
Ndio maana kwenye board yao baadhi ya member wanaanza kuachia ngazi. Barcelona inabomoka kidogo kidogo kutoka ku employ watoto wa academy mpaka kuja kuanza kufanya wa kina Boateng, Vidal, Song, Braithwaite ni walienda nje ya falsafa zao wenyewe na bado wanaendelea kwa Pjanic
 
ARTHUR MELO VS PJANIC

Hivi wadau hili dili lina maana gani kwa Barcelona kumuuza Melo mwenye umri wa miaka 23 kwa £72M na kumnunua Pjanic mwenye umri wa miaka 30 kwa £60M.

Kwanini barca wamefanya biashara ya namna hii?
Corona hiyo,
Badala yake wanamtaka Guendouzi (21) wa Arsenal kuwa replacement
Gendouzi pia anawaniwa na Inter, Atletico Madrid na PSG
 
Ni kweli kabisa wameacha misingi/sera za kuibua na kutumia vipaji vyao kutoka academy yao:-

Messi
Puyol
Fabrigas
Pique
iniesta
Sergio
Xavi
Thiago Mota
Pep kipara
Hao uliowa mention ni generational talents, hawatokei hivihivi, inachukua miaka kupata watu kama hao.

Wakisema wategemee academy kila wakati, makombe wasahau.
 
Angel Gomes (19yo) to Chelsea
Manchester United youngster Angel Gomes’ contract expires today and Chelsea will offer him a lucrative deal to move to Stamford Bridge
 
1593510137260.png

Chelsea have reportedly been cleared to seal the transfers of Ajax duo Andre Onana and Nicolas Tagliafico.

The pair have long been linked with Chelsea after impressing in the Eredivisie and Champions League in recent times, with £35million-rated goalkeeper Onana emerging as an ideal candidate to replace the unconvincing Kepa Arrizabalaga.

Tagliafico, meanwhile, is expected to cost around £22m and has been strongly linked with the Blues as a cheap alternative to Leicester City’s Ben Chilwell.

Both would be smart signings and very good value for money at a combined £57m, and Ajax manager Erik ten Hag has strongly suggested an agreement is in place to allow them to leave the Amsterdam Arena.

Transfer rumours:-

Lampard said Chelsea had no interest in Angel Gomes, and there had been no discussions with West Ham about Declan Rice

‘Declan Rice is a good player, I’ve known him for a long time, he was in Chelsea’s Academy, but there’s no talk. I will keep saying that about every player until these games and this season are finished. There’s nothing to say.’
Kwa Declan Rice hapo kuna maneno, kaongea kidiplomasia kwa sababu ya mikataba ila Lampard anamtaka Rice. Hii iko wazi
 
OOOH ABRAHAM BADO MDOGO APEWE MUDA ATAKUJA KUWA BONGE LA STRIKER, HIZI KAULI ZA KIPUMBAVU SANA

DOGO GREENWOOD WA MAN U ANAKIPAJI KIKUBWA SANA KULIKO KICHWA PANZI WETU ABRAHAM.

GREENWOOD ANA MIAKA 18 TUU LAKINI UKIMUANGALIA ANAVYO CONTROL MPIRA, ANA JICHO LA KUONA ANGLE GANI YA KUFUNGA GOAL.

HUYU DOGO AKIFIKA MIAKA 23 YA ABRAHAM, ATAKUWA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA SANA, ANAONEKANA KABISA ATAKUJA KUWA BONGE LA MPASIA NYAVU.

ENDELEENI KUJIPA MATUMAINI KICHWA PANZI WETU ABRAHAM ETI ATAKUJA KUWA MSHAMBULIAJI HATARI WAKATI KUBWA JINGA.
 
We jamaa huwezi kuandika kwa herufi ndogo?
 
Chelsea New Kit 2020-23
"Three UK is the new Chelsea Sponsor for the next 3 years"
Chelsea wataitumia hiyo new kit leo na Westaham
Kwaheri Yokohama Tyres karibu Three UK
Chelsea New Kit 2020-23.jpg
 
Chelsea boost in Sancho chase Manchester United Out of Race
Sky Sports reported that, Manchester United - who have been most strongly linked with a move for Sancho - are not prepared to pay more than £50m to sign the player.

1593597112504.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom