John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Cheki hyouzuri wake wewe mwenyewe ukweli unaujua ila unakakamaza fuvu huku ukiomba dua nyingi sana isitokee hayo hahahahhahahaha yaani wachezaji wengi wa Bundesliga hasa wa kijerumani ndoto yao ya kwanza ni kucheza Bayern Munchen na mchezaji akiwa mkali Bayern hawamuachi, ukizingatia muda huu ambao Lewandosky akielekea maji ya jioni...........
Sasa mpaka Bavarian wamempotezea ujue hamna kitu hapo, jiandaeni kisaikolojia na Mitchy mpya

