Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pamoja na kufunga goli mashabiki wengi wanamponda Ross Barkley

Barkley's decision making and composure is so poor, we would've put the game to bed if he didn't turn into prime lingard after his goal
I know Barkley scored the winning goal, but man was his distributions bad....
 
Huyu Barkley na Tammy sio viwango vya Chelsea hapana wana mapungufu mengi hata kama wanafunga.......kwa mtizamo wangu ila mimi sio professional
 
Nimepitia comments zote mlizojadili jana. Zote naziunga mkono kwa maana kwamba timu ya ushindi lazima ishinde game yoyote iwe ngumu au rahisi.

Jana tumeshinda kibingwa baada ya 1st half mbovu. Hongera zimuendee Barkely kwa kutuvusha, aibu imuendee Abraham kwa kutupotezea muda pale mbele, kama mechi ya jana Werner aliangalia basi alikuwa anang'ata kidole.

Ushauri wa bure ningewapa uongozi wetu kuna haja ya kumuongezea willan mkataba angalau miaka 2, hatujui ZIYECH itamchukua muda gani kuzoea EPL. Uwepo wa Willan utamuintroduce Ziyech vizuri bila presha yoyote. Isitoshe odoi ni dhaifu sio wa kutegemea.

Nusu fainali itakuwa tamu sana, mechi ya kulipiza kisasi, nyumbu atakutana na simba aliyejeruhiwa tutamchanachana placenta.

London is blue
willian aliktaa miaka miwil yy antka mtat
 
Timu zote zilizo ingia nusu fainal tumbo joto make chelsea hana tabia ya kutoka msimu mzma kapa

London for FA
Hahaha lazima matumbo yawake moto. Linapokuja suala la kubeba kombe huwa hatuna cha msalia mtume..

Kama unakumbuka city alitulamba sita..ila fainal ya carabao ilikuwa mtihani ..sema penalties ndo zilituua.
 
Nimepitia comments zote mlizojadili jana. Zote naziunga mkono kwa maana kwamba timu ya ushindi lazima ishinde game yoyote iwe ngumu au rahisi.

Jana tumeshinda kibingwa baada ya 1st half mbovu. Hongera zimuendee Barkely kwa kutuvusha, aibu imuendee Abraham kwa kutupotezea muda pale mbele, kama mechi ya jana Werner aliangalia basi alikuwa anang'ata kidole.

Ushauri wa bure ningewapa uongozi wetu kuna haja ya kumuongezea willan mkataba angalau miaka 2, hatujui ZIYECH itamchukua muda gani kuzoea EPL. Uwepo wa Willan utamuintroduce Ziyech vizuri bila presha yoyote. Isitoshe odoi ni dhaifu sio wa kutegemea.

Nusu fainali itakuwa tamu sana, mechi ya kulipiza kisasi, nyumbu atakutana na simba aliyejeruhiwa tutamchanachana placenta.

London is blue
Mnasemaga hivi hivi alafu mwisho tunawapiga 4 - 0, hamna mechi rahisi kwa OGS kama kucheza na nyie
 
Nimepitia comments zote mlizojadili jana. Zote naziunga mkono kwa maana kwamba timu ya ushindi lazima ishinde game yoyote iwe ngumu au rahisi.

Jana tumeshinda kibingwa baada ya 1st half mbovu. Hongera zimuendee Barkely kwa kutuvusha, aibu imuendee Abraham kwa kutupotezea muda pale mbele, kama mechi ya jana Werner aliangalia basi alikuwa anang'ata kidole.

Ushauri wa bure ningewapa uongozi wetu kuna haja ya kumuongezea willan mkataba angalau miaka 2, hatujui ZIYECH itamchukua muda gani kuzoea EPL. Uwepo wa Willan utamuintroduce Ziyech vizuri bila presha yoyote. Isitoshe odoi ni dhaifu sio wa kutegemea.

Nusu fainali itakuwa tamu sana, mechi ya kulipiza kisasi, nyumbu atakutana na simba aliyejeruhiwa tutamchanachana placenta.

London is blue
Huyo Werner akija msije anza kumrushia makopo maana mnavyompamba utasema ana tofauti kubwa na Mitchy....hahahahaaaaa mpira hauchezwi midomoni na hii ndio EPL,

NB:Timo Werner na Batman ni pacha wasiofanana sura na rangi tu.

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Huyo muoka mikate hana maamuzi ya haraka katika kutoa pasi wakiwa katika mashambulizi. Huyo dogo angekuwa na maamuzi ya haraka bila shaka angekuwa hatari kwenye assist.
Yan ni mzito kufanya maamuzi. Japo kaingia kipindi cha pili lakini yeye ndio kaongoza kupiga mashuti kuelekea golini. Sasa hiyo mibutuo angekua anatoa pass si tungeacha hata kutoa lawama kwa kina Tammy. Barkley jana kazingua mno
 
Msimu mzima unaisha, hamuwezi kumpiga ma u, ndio mnaaga hivo mashindano

Kwanza hata city mkitaka kujua mlibahatisha njooni mkutane final muone atachowafanya

Nyie ni level za kina astonvilla tu
Kapimwe akili ww
 
Dully bana naona unatuletea stress zako za Lacazette mchezaji anagaragara chini kama linguruwe pori limechomwa mkuki wa shingoni.
uzuri wake wewe mwenyewe ukweli unaujua ila unakakamaza fuvu huku ukiomba dua nyingi sana isitokee hayo hahahahhahahaha yaani wachezaji wengi wa Bundesliga hasa wa kijerumani ndoto yao ya kwanza ni kucheza Bayern Munchen na mchezaji akiwa mkali Bayern hawamuachi, ukizingatia muda huu ambao Lewandosky akielekea maji ya jioni...........
Sasa mpaka Bavarian wamempotezea ujue hamna kitu hapo, jiandaeni kisaikolojia na Mitchy mpya
 
Hzo ni porojo tu Werner aliapa hatocheza Bayern munich sio kwamba walimpotezea....mifano IPO mingi wachezaji Wa kijerumani kama reus walikataa kwenda bayern
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom