lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,486
Abraham hawezi kabisa kudrible. kuna mpira aliupata easy dribling ilitakiwa ili ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kufunga au ku assist akashindwa. Ajifue zaidi kwenye ufungaji la sivyo atakuwa hana msaada wowote uwanjaniAbraham
R.L. Cheek
Hawa wenzao wanapokuwa uwanjani wanacheza mechi, wao wanatakiwa wabaki uwanja wa mazoezi wanaendelea na mazoezi binafsi.
