Kikosi changu cha city 4 - 3 - 3
Pulisic.............Giroud................Willan
Kovacic.............Kante..............Mount
Alonso......Rudger.....Christensen...Azip
...................Keppa........................
Mechi iliyopita na city, MARHEZ alimjeuza jeuza ERMASON kama chapati, upande wa kushoto ulikuwa uchochoro kwa city.
Ingependeza sana mechi ijayo AZIPUCUETA angecheza LB apambane na Marhez endapo JAMES angekuwa fit apambane na STERLING.
Ila kwa maboko ya James aliyotoa juzi natilia shaka utimamu wa mwili wake kuelekea mechi ya city.
Hii mechi matokeo yataamuliwa na maeneo mawili nayo ni:-
1. Safu ya ushambuliaji:- Mechi iliyopita na city tulitengeneza nafasi nyingi sana za kufunga mwisho wa siku chance zilikuwa wastage.
Kama mechi ya marudiano washambuliaji wetu wakawa clinical in finishing basi tutashinda mechi.
2. Safu ya ulinzi:- Hapa ndio majanga, Mungu aweke mkono wake. Tuna beki mbovu sana zile central backs ni picha.
Kama beki zetu zitafanikiwa kuzima mashambulizi mechi tutashinda.
KANTE huyu mtu ni muhimu sana kwenye hiyo mechi haswa eneo lake DM, mechi ya juzi na villa amecheza kwa kiwango bora sana, uwepo wake pale katikati naamini pale katikati tutapashika.
Sent using Fly in any Weather.