Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mason Mount, Reece James, Billy Gilmour na Fikayo Tomori wana future nzuri kwenye mpira wa miguu
 
Sasa BET imehamia kwenye Corona

US institute revises down forecast for UK coronavirus deaths
UK still predicted to have most deaths in Europe, but forecast lowered from 66,000 to 37,494
 
Tuendelee na gossip za transfer hata kama tunaomboleza mauaji ya kinyama yanayoendelea kutokea Ulaya na Marekani kwa sababu ya COVID-19

Huko nyuma niliwahi kusuggest Kante auzwe kama pesa nzuri itapatikana ili tuimarishe kikosi kwa kuwanuanua wachezaji wanaoendana na falsafa na mfumo wa Lampard nikashambuliwa kana kwamba sijui ninachokiongea

Sasa yametimia, Uongozi wa Chelsea wameweka dau la Kante, USD mil 100
Real Madrid wanamtaka ila wana wasiwasi kama wataeza mlipa dola laki 380 kwa wiki, kiwango anacholipwa hapo Chelsea
Juventus nao walimtaka ilia wamefyata baada ya Chelsea kuweka dau
Kwa nini Chelsea wanaona wamuuze akiwa bado ana dhamani!
Wote tunakumbuka kuwa Kante aliimerge kuwa DM mzuri kwenye mfumo wa counter attack kule Leicester city na baadaye akaendeleza moto huo huo Chelsea chini ya Conte
Alipokuja Sarri ambaye mfumo wake ni wa pasi fupi fupi na ball possession, Kante akajikuta afit kwenye mfumo, akapewa majukumu mapya ya kushambulia Zaidi ya defensive roles
Alipokuja Lampard tukadhani angerudiswa kwenye majukumu yake badala yake ndio ikawa balaa Zaidi kwa Kante Kwani Lampard kaja na falsafa ya kupeleka mpira kwa kasi, pasi fupi fupi na kumiliki mpira kama Sarri, hapa pia bado Kante hakuweza kufit kwenye DM akaendelea kutumika mbele.

Sasa uongozi wa Chelsea wanaona akiuzwa angali akiwa bado na dhamani wanaweza kutumia pesa kununua wachezaji wanaoendana na falsafa na mfumo wa kocha.
 
LAMPARD AONDOKE NA MFUMO WAKE WA OVYO
 
Aondoke alafu unambakisha mtu Kama jorginho Chelsea haipo serious alafu hainunui mbadala
 
#NANI ATUE CHELSEA?

Kocha wa Chelsea, Frank Lampard, amekiri anahitaji kukiimarisha zaidi kikosi chake ili aweze kushindana na Liverpool na Manchester City katika ubingwa wa EPL.

Lampard, hajafanya usajili wowote mkubwa tangu ajiunge na Chelsea mwanzoni mwa msimu huu, lakini timu yake ipo ndani ya nne bora kwenye msimamo wa EPL, japokuwa ameachwa pointi 34 na vinara Liverpool.

Akizungumzia muelekeo wa kikosi chake kwa msimu ujao wa mashindano, Lampard, amekiri kuwa anahitaji kuendelea kujijenga na kusajili nyota kadhaa wapya ambao wataongeza ushindani.

#EPL #Chelsea #Lampard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kusikiliza GOSSIPS za football ndio burudani pekee iliyobaki
"And according to the Evening Standard, Blues chief Roman Abramovich has told Lampard that he will have the funds required to sign Sancho should he wish to do so. "
 
Frank Lampard admits he regrets not giving new midfield star Billy Gilmour, 18, his chance earlier.
 
HII IMEKAAJE
Barcelona are ready to offer Chelsea a huge swap deal which would see N’Golo Kante moving to the Nou Camp and Philippe Coutinho in the opposite direction to Stamford Bridge.
 
Hapana the blues need N'gole kante kuliko mchezaji yoyote on him we build the team....Ana exprience na middle fielder mzuri sana na pia ni flexible player.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana the blues need N'gole kante kuliko mchezaji yoyote on him we build the team....Ana exprience na middle fielder mzuri sana na pia ni flexible player.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mchezaji nisiyependa aje Darajani ni Countinho. Namuona kama ataendelea kuwa flop hata darajani. Ni bora tumpe Willian mkataba wa miaka mitatu kuliko kumsajili Countino labda kama tutapewa kwa mkopo
 
Kweli Williams anaweza akashikilia kidogo kuliko countninho, ila nayeye umuri umesogea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea have reportedly made contact with the representatives of RB Leipzig's in-demand striker Timo Werner.
 
Sarri on Chelsea Exit

“Do I miss England? Only a bit,”
"I would never live there, I don't understand how the Italians who are there do it .
"But football is another matter. I miss the Premier League. It is fantastic.”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom