Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kweli tumeona wakipandisha viwango vyaoOf course ban imetuathiri kiasi Fulani tusingekuwa na wachezaji hao ila kwa leo na history tulionayo naamini Bayern wataona pachungu Stamford bridge hata hao wachezaji unaowaona hawana quality Leo watapandisha viwango vyao.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]