Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukiweka ushabiki pembeni me leo sikutegemea kama tungeweza shinda.
Tungeshinda kwangu ingekuwa surprise
 
Alonso alikuwa anacheza vizuri sana na sasa wamemtoa, nimeachia ngazi siwezi kuangalia tena mpira
 
Tuseme kweli tuu, kwa mpira huu dhidi ya Bayer nazani ni Messege Sent kwa Body ya Chelsea.

Unategemea maajabu gani kumfunga Bayern kwa Mpira huu na wachezaji hao tulionao...?

Hakuna wa kumlamu kwa matokeo haya, wacha tuvune tulicho panda tuu.

Over.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaboa sana timu dhaifu kwenda kusindikiza champions league kijinga jinga kama hivi ya nini kugombania champions league wakati unakutana na wanaume wanakupa mambo unatulia kama mtungi?itabidi itungwe sera mpya timu ambayo itadhalilisha champions league kama chelsea inyimwe nafasi ya kushiriki Msimu unaofuata ni aibu aibu aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200226_010901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo tunauona ukweli..

Kikosi chetu cha sasa wacheezaji wengi ni average players wanastahili kichezea timu ndogo.. Jezi ya chelsea ni kubwa sana kwao..

Kingine, saiv wachezaji wetu wengi hawajitoi 100%,, nadhani ni muda sasa qa kufanya overhaul ya kikosi.. Vinginevyo kila big match matokeo chanya yatakua ni kama miujiza ...


Also,, niliwai kusema na kuna mtu alinibishia sana humu ndani.. Chelsea sasa hivi ni wabovu sana kwenye set pieces,, sijui lampard kama analiona hili swala, yaani ikipatikana kona unajua kabisa 50% tumefungwa... We are too weak kwakweli kwenye set pieces

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangu wote mmekimbia dah sasa hapa itakuwaje

Bayern sio timu ya kucheza nayo huku mnajenga uwazi mkubwa baina mzechaji na mchezaji

Ahsante kwa kushiriki

Arsenal 10 loading.... ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom