Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado sijaona Mount na Barkley wakifanya vile kazi inatakiwa. Kwa beki ya leo ya Bayern naona kwa mbali tunamuhitaji Willian ili kwanza akimbize kimbize mabeki wale lakini pia naona Mount anazidiwa msuli na mabeki wa Bayern, nadhani kwenye hilo Willian anaweza kuwa msaada
 
Huyu kijana aliyepewa jezi no 8 siyo wa kutolewa bali ni wakufukizwa kabisa klabini Chelsea. Mchezaji mzembe na mzito kama malkia wa nyuki.
Barkley ni mzuri, sema leo hayuko kwenye form. Kuna haja ya Willian na Pedro kuingia kumpa hamasa Giroud. Pengo la Kante linaonekana live. Kovacic hatembei kama ada yake. Jorginho, Mount, James, Chrisesten na Rudiger safi.

Bayern ya leo wanafungika kabisaa!
 
So far tumejilinda japo confidence hakuna kabisa, wao wanamiliki mpira 69% ile pressing imekwenda wapiu AU ndio tactical game nini?
 
So far tumejilinda japo confidence hakuna kabisa, wao wanamiliki mpira 69% ile pressing imekwenda wapiu AU ndio tactical game nini?
Naona kama ni mbinu japo bado wa hezaji wana uzito fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom