Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,254
- 5,392
Tuliza hasira Mkuu Chelsea hana timu ya kumfunga The Bavarian.We unafikiri mpira ni raisi hivyo!, wa wapi wewe?
Tuliza hasira Mkuu Chelsea hana timu ya kumfunga The Bavarian.We unafikiri mpira ni raisi hivyo!, wa wapi wewe?
Teh! kweli chelsea tumepata kocha bhana!😏😏
Hiki angalau.Willan ameanza benchi View attachment 1369161
Willan ameanza benchi View attachment 1369161
Naona anakuja na mfumo ule ule wa 3-5-2-1 na kikosi ni kile kile kilichomfunga Tottenham
Uyu cabarello sin imani nae
3-4-3 na 3-4-2-1 ni mfumo ule ule sijui kwanini huwa wanaandika tofautiNaona anakuja na mfumo ule ule wa 3-5-2-1 na kikosi ni kile kile kilichomfunga Tottenham
3-4-3 na 3-4-2-1 ni mfumo ule ule sijui kwanini huwa wanaandika tofauti
Naomba link ya kuangalia hii game pleaseIngekuwa ni Kepa tungekuwa nyuma kwa goli 3-0