Formation ya 3-4-3 na 4-2-3-1 Kante anachezaga defensive MF na uchezaji ni ule ule. Tumekaririshwa tu kuwa Kante hachezi defensive role yake wakati sio kweli. Kwenye 4-3-3 ndio Kante anacheza attacking MF kwa sababu defensive MF ni mmoja tu naye ni Jorgi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry, nakubaliana na wewe, Kante sio nzuri mbele Ila kiacheza defensive kwenye 4-3-3 jorgi hautaweza mbele labda akae benchi au ndio yeye auzwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampard anashindwa kumpatia kante kutokana na nafasi anayomchezesha.
 
Hakim Ziyech signs five-year Chelsea deal ahead of summer move
"I am delighted and proud to have signed for such a huge club as Chelsea," says Ziyech.
Hakim Ziyech has signed a five-year deal with Chelsea ahead of his move to Stamford Bridge this summer.
 
Yes tunaogopesha, let's go blues View attachment 1367739
Kama tutawazuia hawa Joshua Kimmich, Thos Muller na Coutinho basi game tumeiweza. Nasema hao kwa sababu kama watazuilika kisawsawa basi jua kuwa umeizuia Bayern kufanya mashambulizi ya hatari lakini pia umemzuia Lewandowski kupokea mipira.

Tukumbuke Muller ndio anaongoza kutufunga zaidi kila tunapokutana. Swali, Je ni nani wa kuwazuia?
 
Kikosi cha mwaka 2012 kilichopata ushindi dhidi ya Bayern. Hapo yupo Lampard peke yake ambaye kasimama kama kocha. Wakati kule kwa Bayern waliocheza ile mechi dhidi yetu wamebaki wawili tu ambao ni Muller na Neur.

So it is 1 against 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo wanaocheza Bayern ni 3 - 4 - 2 - 1

Nadhani tuingie na mfumo wa 3 - 4 - 3 twende nao sambamba.

Pulisic - Giroud - Willan

Alonso - Kovacic - Joginho- Azipiculeta

Rudger - Christensen - JamesView attachment 1367824

Sent using Cash Money Wings
Nakuunga mkono asimilia 💯 ila yule Lampard Kuna wakati anakuwa mpuuzi utashangaa ataanza na Abraham, Giroud atamuweka benchi hapo ndo anaponichosha Lampard.
 
Mfumo wanaocheza Bayern ni 3 - 4 - 2 - 1

Nadhani tuingie na mfumo wa 3 - 4 - 3 twende nao sambamba.

Pulisic - Giroud - Willan

Alonso - Kovacic - Joginho- Azipiculeta

Rudger - Christensen - JamesView attachment 1367824
Mkuu game ya kesho mi nadhani hakuna haja ya kujaza watu wengi mbele. Tucheze kwa kukaba zaidi then mbele tucheze na mastiker wawili huku Giroud akicheza chini ya Tammy. Nikiwa na maana Tammy ndio atakabwa zaidi huku muuaji awe Giroud.

Mi nadhani mfumo mzuri wa kuingia nao ni 4-4-2 tunakaba zaidi huku tukishambulia kwa kushtukiza. Tukisema tutawale mchezo hatutaweza wana Thiago na Tolisso ambao ni hatari.

Giroud - Tammy

Mount - Kovacic - Jorginho - Barkley

Alonso - Rudiger - Azpilicueta - James

Kepa/Caba
 
Lakini kuhalisia unadhani atampanga nani na nani kuziba nafasi za Mont na Barkley? Ndio maana nikasema ni aidha mmoja wao au wote wakaanza kikosi cha kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…