Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_20200215-202831~2.jpeg
 
Jadon Sancho Darajani ???

A name Chelsea are definitely interested in is Jadon Sancho. The club have just spent £40m on Ziyech, a wide player, so they will be less likely to sign him but he remains a target

Blues boss Frank Lampard will have a transfer kitty consisting of up to £150m to spend this summer, as the club still have some leftover money from the sale of Eden Hazard to Real Madrid.
 
Kusoma akili yako ili iweje? Kila mtu anatoa mawazo/maoni kwa kile anachokiamini katika ushabiki wake, sihitaji kusoma akili zako.




Sent using Cash Money Wings
Unao uhuru mkuu, ila unapotafsiri vibaya mawazo ya mtu mwingine haitakuwa na afya na mimi nimebase hapo
 
Hakim Ziyech is not yet a Chelsea player — his transfer may be signed and sealed, but it won’t be delivered until the summer
 
Kusoma akili yako ili iweje? Kila mtu anatoa mawazo/maoni kwa kile anachokiamini katika ushabiki wake, sihitaji kusoma akili zako.




Sent using Cash Money Wings
Sikutegemea kama ungejibu hivi. Katika civilized world ukitafuta kwanza kumuelewa mwenzako ndio msingi wa mawasiliano. Sasa wewe unacomment mawazo yangu na huku hutaki kunielewa kwa umbrella ya ushabiki sasa unataka nini? Ushabiki sio ticket ya kusema chochote, hata kama unatofautiana na mimi, uelewe kwanza kwani yaweza kuwa tuko pamoja ila kwa sababu ya kushindwa kunielewa unaaza tu kupinga from no where
 
Wewe ndio umeanza kucomment maoni yangu. Na comment yako imekaa mrengo wa kushoto, nafahamu kabisa ushabiki wako umelalia wapi.

Mawazo yetu hayawezi kufanana kwa kile unachokiamini brother. Ndio maana nimekujibu sihitaji kusoma akili yako kwa sababu nafahamu tumetofautiana kwenye mitazamo ya ushabiki kwa kile tunachokiamini.

Na hii sio mara ya kwanza.

All ni all tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kukandamiza maoni ya mwingine kwa kuwa haamini kile unachokiamini.

Tembelea platform zote za Chelsea, comments zinatofautiana kulingana na mitazamo ya mashabiki, sio kwamba kwa kuwa sisi ni mashabiki wa Chelsea basi tuwe na mtazamo unaofanana kiushabiki. Haiwezekani.

Sent using Cash Money Wings
Nionyeshe mahali nimekupinga pale nilipokukoment
 
Mkuu wangu hujanipinga ila unataka niamini kile wewe unachokiamini. Embu tuyaache haya

Leo tuna big match hakuna haja ya kulumbana now. Embu tufocus kwenye game ya baadae.

Lete analysis kuelekea mechi ya baadae. Nafahamu uko vizuri kwenye analysis.

Sent using Cash Money Wings
Hii mechi ya leo ni mechi ya Mentality VS Mentality, tukiwa low kwenye mentality tutafungwa, tukiwa na positive mentality tutashinda
Man U wanategemea sana counterattack na wachezaji wao muhimu wa counter hawako uwanjani hasa Marcus Rushford, Paul Pogba na Scott McTominay hawa ni pair wa counter attack hawapo. Ushindi uko mikononi mwa Chelsea washindwe wenyewe.
 
Chelsea predicted XI (4-3-3):

Willian - Abraham - Hudson-Odoi
Kovacic - Jorginho - Kante,
Azpilicueta - Rudiger - Christensen - James,

Kepa
Kuna wengi wanabashiri Jorginho anaweza asicheze kwa sababu niu Liability Chelsea inapocheza na Man United. Jorgi sio mzuri kwa counter attack kwa sababu hasomi mchezo kama Kante

So lineup inaweza kuwa hivi kwenye 4-2-3-1

Abraham
Willian - Mount - Hudson-Odoi
Kovacic - Kante,
Azpilicueta - Rudiger - Christensen - James,

Kepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom