njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Atakuwa mzuri
Tatizo la Abraham limesababishwa na kukosekana mtoa huduma mzuri, Hao mnaowasikia wakifunga kila mara wanahudumiwa vizuri. Na ndio maana kocha analalamikia kukosekana kwa kiungo mbunifu. Ujio wa Hakim na probably Sancho utabadilisha ufungaji wa Abrahama kwa sababu wanaokuja ni mafundi wa kuassist
Mazungumzo ndo leo yameanza lasimi ya sancho kutua darajanDeal ya sancho ndo basi tena kwani tulikua na agreement yoyote ya kumnunua Sancho au tunamtaka tu kama clubs nyingine zaidi ya 8?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je marina angekataa kutoa mtonyo ingekuwaje mzeeSifa mnampa Marina bure
Aliyefanya scouting na kumpendekeza Hakim ni Lampard
Marina angefanya peke yake angetuletea akina Bakayoko na Drinkwater
Enheee ndiyo mzee wa mawazo mbadalaSijui mnaona nini kwa Sancho wallah? Sancho kama odoi tu.
Ni top scorer wa kombe la dunia huyo jamaa ni mashineHarry Kane ana misimu minne mfululizo kafikisha magoal 20+ na Kati ya misimu Hiyo amekuwa top scorer mara mbili wa ligi ya uingereza utasemaje jamaa ni overrated?
Umetumwa?Jorginho akiondoka nachinj kuku siimkubbaligi toka ujio wake the blues
Mkuu tusijihakikishe mapema, sajili ni gambling. Wanaweza wote wasifanye tulivyotegemea lakini angalau tutakuwa tumesajili quality playersHabari njema hiyo.
Ziyech
Sancho
New Striker
New LB
New CB
Chama litarudi kwenye makali yake, kila msimu kutoka na kikombe kikubwa.
Aisee acha kumdharau bas mwenzioWewe inabidi uwe mshabiki wa Arsenal hata mentality yako imekaa kiarsenal arsenal Abraham Hana quality ya kuwa main striker wetu.
Atakuwa mzuri
Tatizo la Abraham limesababishwa na kukosekana mtoa huduma mzuri, Hao mnaowasikia wakifunga kila mara wanahudumiwa vizuri. Na ndio maana kocha analalamikia kukosekana kwa kiungo mbunifu. Ujio wa Hakim na probably Sancho utabadilisha ufungaji wa Abrahama kwa sababu wanaokuja ni mafundi wa kuassist
Strikers kupoteza nafasi ni kawaida. Cha muhimu atengenezewe nafasi nyingi. Firminho anakosa ngapi? Aguero anakosa ngapi?Nafasi ngapi Abraham anakosaga? Au uangalii mwangalie game dhidi ya man city alipata nafasi mbili za wazi kakosa, Kuna game pia tulicheza na Liverpool Stamford bridge kakosa chance za wazi.Team kubwa Kama Chelsea haiwezi kumtegemea Abraham kuwa striker wao tegemezi
Unatetea ujinga kaka? Lampard mwenyewe alishasema anataka striker mpya. Tammy level yake ni championship.
Taja strikers kwa sasa duniani ambao wanaweza kuja Chelsea na kufanya vzuri kuliko Tammy na tuone uwezekano wa kuja Chelsea kama upoTunamshukuru Tammy kwa kuwa care taker striker kwa muda tuliopigwa ban, msimu ujao tunaingia kwenye serious business ya kubeba EPL, nuclear weapon striker
Na akiendelea kumchezesha msimu ujao muwe nyuma yake hivyo hivyoMkuu huwa naona Aibu sana naposoma msg ya mdau anayemtetea Tammy. Lampard asimamie msimamo wake wa kusajili striker.
Tupo nyuma ya Lampard, january Marina hakumletea striker ila tunaimani atakuja bonge la striker
Kubeba kombe epl tunatakiwa tuwe na striker caliber ya Aguero na Firmino na sio kindergarten striker
Hivi mkuu uko serious kweli, Tammy ana magoli mangapi? Na huyo Firminho ana magoli mangapi? Tammy akiondoka kila mtu atamliliaMkuu huwa naona Aibu sana naposoma msg ya mdau anayemtetea Tammy. Lampard asimamie msimamo wake wa kusajili striker.
Tupo nyuma ya Lampard, january Marina hakumletea striker ila tunaimani atakuja bonge la striker
Kubeba kombe epl tunatakiwa tuwe na striker caliber ya Aguero na Firmino na sio kindergarten striker
Mastriker wote ambao wako vizur utaangalia tim kubwa zote zinawataka kuanzia kwa lautaro martinez mpka kwa dembeleTaja strikers kwa sasa duniani ambao wanaweza kuja Chelsea na kufanya vzuri kuliko Tammy na tuone uwezekano wa kuja Chelsea kama upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Salah, Firminho wanapoteza ngapi jamani? Hiyo kwa striker yeyote ni jambo la kawaida. Diego costa alikuwa anamaliza msimu na magoli 20's unataka kusema timu nzima alikuwa inamtengenezea nafasi za wazi 30 tu kwa msimu mzima?Sawa mkuu. Mawazo yote ni mema kwa mafanikio ya chama letu. Ngoja tuone usajili wa huyo anayekuja kumchallenge Tammy.
Ila chance za kufunga anazopoteza Tammy ni nyingi jamani kama una hasira unaweza pasua tv yako.
Umeongea kitaalamu zaidiMimi nipo na wewe... tammy ni mzuri, ukizingatia ndio mara yake ya 1 kucheza premier na umri wake ...
Kwa maana mpka sasa kaonyesha uwezo mzuri, tukiachana na drogba, yeye ndio ana wastani mzuri wa kushinda toka karne hii kuanza....
Wanaotaka foward mwingine, yupi kwao ni bora na atakuwa mzuri wa kushinda zaidi yake kwenye ligi ngumu kama epl..????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu hata hilo halijui ila utakuta ni mbishi hakuna mfano. Ila lazima tuvumiliane ili jukwaa lisogee
HAAA unataka tuwataje na majina? Kuna Timo Werner. Halaand ndio yule tumemuacha kaenda dortmund. Hata dembele mwenyewe yupo tough kuliko huyo Tammy.Mimi nipo na wewe... tammy ni mzuri, ukizingatia ndio mara yake ya 1 kucheza premier na umri wake ...
Kwa maana mpka sasa kaonyesha uwezo mzuri, tukiachana na drogba, yeye ndio ana wastani mzuri wa kushinda toka karne hii kuanza....
Wanaotaka foward mwingine, yupi kwao ni bora na atakuwa mzuri wa kushinda zaidi yake kwenye ligi ngumu kama epl..????
Sent using Jamii Forums mobile app