Naona ni vyema tungesubiri kdgo tuone kama ataenea kwenye viatu vya Hazard......sasa hivi ni mapema sanaaHapa ndo tumepata mbadala wa Hazard...Hakim Ziyech ni kifaa kwelikweli.
Ndio but ukimuangalia pulisic anaweza cheza lw na camMzee tusajili wachezaji kwa nafasi zao za kuonyesha ubora.
Kocha afanye usajili wa wachezaji kwa mahitaji ya mfumo wake. Msimu ujao tuache kuwachezesha wachezaji kwenye nafasi ambazo sio zao.
Hakuna kitu kinaniuma sana kama KANTE kucheza attacking midfielder.
Sent using Cash Money Wings
Hakuna mtu Kama hazard hata nje ya Chelsea, Yupo hazard mmoja pekee duniani.sijamuona wa kuziba nafasi ya hazard pale Chelsea ata huyu ziyech kwa hazard bado sana
Kwa dribbling Hazard yuko juu lakini kwa assists, Hakim ni next Fabregas na amekuwa hivyo kwa misimu yote miwili.Hapana aisee HAZARD next level.
Sent using Cash Money Wings
Halafu na bei yake very cheapNi fasta cos tetesi za kusajiliwa kwake zimeanza muda mfupi na soon akasajiliwa.
Sifa mnampa Marina bureKwa ziyech let me say that
Makopa makopa kopa Marina
Love love love u Marina
Hakika wewe ni mfanyabiashara unaangalia faida zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea are cooling their interest in the England ace due to Borussia Dortmund’s £100m valuation.Sitegemei Marina kutoa £100M kwa SANCHO. Dili la sancho kama limeshakufa
Sent using Cash Money Wings
Kuna sehem nilisoma wanasema wanaweza kumsajili boga na kumpeleka dortmund kwa ajili ya kumpata sanchoChelsea are cooling their interest in the England ace due to Borussia Dortmund’s £100m valuation.
Chelsea wametenga Paundi mil 240 kwa usajili wa msimu wa kiangazi
Je Jadon Sancho atafit kwenye hiyo bajeti?
Chelsea wamepanga kusajili wachezaji watano
View attachment 1356813
- Kiungo mshambuliaji
- Winga wa Kulia
- Striker
- Beki wa kushoto
- Golkipa
Tayari Hakim Ziyech tunaye, bado wanne kwa bajeti ya paundi mil 240
Mwonekano wa jinsi Chelsea wanataka kutumia hiyo 240 ni kama ilivyoonyeshwa hapo kwenye jedwali
Ni dhahiri kuwa Chelsea hawako tayari kutumia zaidi ya paundi mil 70 kwa Jadon Sancho labda Tajiri kwa mapenzi yake na Sancho aamue kuvunja mojawapo ya akaunti yake ya benki mbali na ile mil 240
Metro wao wanasema Hakim Ziyech ni option ya bei nafuu kwa Jadon Sancho. Kwa hiyo inavyoelekea ndivyo Chelsea wameshampa mgongo Sancho
Ziyech, who is valued at around £42m, is seen as a cheaper and more attainable alternative to Jadon Sancho
tupe na tarehe ya hayo matamshi, maana sidhani kama kayatamka hivi karibuni hasa hii ya ArsenalZiyech: “Which club would you like to go to in the future?”
Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”
Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh mwisho wa siku kaenda wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ziyech: “Which club would you like to go to in the future?”
Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”
Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahy, Lambard ndio scout wa Chelsea.?Sifa mnampa Marina bure
Aliyefanya scouting na kumpendekeza Hakim ni Lampard
Marina angefanya peke yake angetuletea akina Bakayoko na Drinkwater
unapata raha gn?Ziyech: “Which club would you like to go to in the future?”
Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”
Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kocha yupo kwenye timu ya scout, kuna sehemu huko nyuma nilitaja walio kwenye hiyo scout team. Kwa maneno mengine Kocha hasa Lampard tofauti na Conte na Sarri anahusishwa sana kwenye wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa. Report ya scout intelligence zinaenda kwake. Yeye mwenyewe akiwa na nafasi anatembelea mechi mbalimbali kufanya uscout. Natumaini umenielewaKwahy, Lambard ndio scout wa Chelsea.?
Beggars can't be choosers
Na hii piaFRANK LAMPARD is reportedly telling his scouts to line up a replacement for Chelsea keeper Kepa Arrizabalaga.
Kuanzia msimu uanze hadi sasa, Kepa ana save percent ya 56 ambayo ni ya pili kutoka chini baada ya 55% ya kipa wa Southampton. Alisson Becker wa kwanza kwa kuwa na 78%
Chelsea’s transfer guru team revealed with Lampard heading group to decide on transfers and signings
As manager, Frank Lampard is heavily involved in the decision-making process.
And he is supported by Marina Granovskaia, Petr Cech and Scott McLachlan, with Lampard making it clear that it is a "joint effort".
Scouting Team nzima ni
- Frank Lampard - Ana maamuzi makubwa kwenye uuzaji na usajili wa wachezaji
- Marina Granovskaia - ana maamuzi kwenye mikataba na mshauri wa karibu wa Roman
- Petr Cech - Mshauri tu
- Scott McLachlan - Head of International Scouting - Mshauri tu
Hapo unabadilisha jina tu na kufanya matamshi rasmi, mitandao banaCristiano Ronaldo: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Messi: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Kevin Bryune: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Mane: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Mbappe: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Varane: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Sent using Cash Money Wings
Nimependa avatar yako Hiyo movie kwenye hiyo avatar yako inaitwaje?Hii timu kumbe bado ipo hai
Kwa Hilo nakupinga Sancho ana wastani mzuri wakufunga na kutoa assist huyo odoi kufunga hajuiSijui mnaona nini kwa Sancho wallah? Sancho kama odoi tu.