Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Last season vs This season..

Lampard is the downgrade of Sarri.. Last season tulipoteza gemu 8 full season,, mwaka huu gemu ya 25 tu tumeshafikisha iyo idadi,, sijui hadi mwisho wa msimu itakuaje

Lampard kinachom"beba ni uingereza wake tuu,, angekua sio mzawa najua criticism zingekua zakutosha..

Last minute of leicester game tumecheza kama timu ndogo. timu iliyoridhika na sare ..
Leicester walicheza wakionesha kabisa wanataka matokeoView attachment 1343443View attachment 1343444

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabao
Saiv chelsea hatuna mtu kama hazard ambae anaweza amua matokeo mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu alikua na mawazo kama yangu kabisa..

Dharau kiasi gani,, striker namba moja ni majerufi anacheza zaidi ya 75+, striker namba 2 yupo benchi then anaingia kiazi kimoja cha kiingereza nafasi yake..

Ni bora wangewaachia tu. Kuliko kuua career za watu...

Kuna uero imekarabia. Tunajua batshuayi na giroud huitwa kwenye timu zao,, ila kwa huyu Lampard anachowafanyia , Mungu anamuona aisee
Screenshot_20200201-173434.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea hatuna Hazard, Fabregas, Drogba na John Terry kiubora lakini si kwa uvaaji wa namba za hizo jezi.
Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabao
Saiv chelsea hatuna mtu kama hazard ambae anaweza amua matokeo mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee sari kilichokuwa kinambeba ni uwepo wa hazard, hazard kunamech alikuwa anaamua matokeo yeye kama yeye angalia mechi ya westham, liverpool carabao
Saiv chelsea hatuna mtu kama hazard ambae anaweza amua matokeo mda wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikataa rufaa ya nin,, means waliona pengo la Hazard...

Sasa wamefanya nin na ni zaidi ya miezi mitatu toka tufunguliwe ban yetu.

Walishindwa kufanya ushawishi toka mwanzo kwa wachezaji wanaowataka..

Inaezekana ukasema kumpata mtu kama hazard sokoni ni ndoto,,

Lakin hata joe cole wakati anaondoka chelsea tulijua hatutapata mrithi wa ufundi kama wake..

Uzembe ni wa board + Lampard....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn mbona Lampard anafundisha mpira mzuri tu sema ninachokiona anakosa baadhi ya wachezaji sahihi
Its true tunacheza mpira mzuri tu..

Na hauna tofauti na ule wa sarri..

Same passes, a lot of them.. Lakin creativity pamoja na scoring iko pale pale..

Weakness kwenye kuokoa mipira ya set pieces uko pale pale...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa Kepa leo tungelala
Mentality ya timu leo ilikuwa nzuri
Shot on target 3 mbili zimeingia
Sikujua klwa nini Pedro alicheza nafasi ya Willian
Sikujua pia kwa nini tumecheza bila striker wakati Batsuayi yupo bencji na fit
 
Its true tunacheza mpira mzuri tu..

Na hauna tofauti na ule wa sarri..

Same passes, a lot of them.. Lakin creativity pamoja na scoring iko pale pale..

Weakness kwenye kuokoa mipira ya set pieces uko pale pale...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna goli la set pieces leo ila sisi ndio tuliofunga yote mbili kwa set pieces
 
Hakuna goli la set pieces leo ila sis ndio tuliofunga yote mbili kwa set pieces
Evans amekosa clear chance ,, labda kama hukuangalia mpira..

Newcastle alitufunga, na pia waligongesha mwamba kwa aina ile ile ya mipira

Liverpool alitufunga kwa set pieces,, achana na goli la TAA Lile la firmino..

Saiv tunaweza pata kona zaidi ya 10 na tusifunge , na timu pinzina ikipata walau kona tatu ujue 90% watapata goli..

Na hapo ndo ninapokuambia tuna weakness kwenye hiyo mipira

Tunazungumzia game la leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom