Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe unachanganya mambo. Kepa amesajiliwa wakati Sarri anaingia.
Msimu wa kwanza wa Antonio Conte Kipa alikuwa nani acha kujisahaulisha, msimu wa pili tuna beba FA Kipa alikuwa nan, msimu wa Sarri tunabeba Europa kipa alikuwa nani ..

Mpka sasa Kepa ana makombe matatu na fainal saba..

Ana EPL, FA na EUROPA.

Ana FA vs Arsenal
Ana Community shield vs Arsenal
Ana FA vs Man united
Ana Community shield vs Man city
Ana Carabao vs Man city
Ana EUROPA Vs Arsenal
Ana Supercup Vs Liverpool

Sasa uyo Leno tupa kulee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kombe pekee alilonalo Kepa ni Europa League.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wa kwanza wa Antonio Conte Kipa alikuwa nani acha kujisahaulisha, msimu wa pili tuna beba FA Kipa alikuwa nan, msimu wa Sarri tunabeba Europa kipa alikuwa nani ..

Mpka sasa Kepa ana makombe matatu na fainal saba..

Ana EPL, FA na EUROPA.

Ana FA vs Arsenal
Ana Community shield vs Arsenal
Ana FA vs Man united
Ana Community shield vs Man city
Ana Carabao vs Man city
Ana EUROPA Vs Arsenal
Ana Supercup Vs Liverpool

Sasa uyo Leno tupa kulee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kutoa boko tu hujambo

Hata Chelsea yako vitu vingi unatoa boko
 
Nmekujibu kwa kigezo cha kwamba mngekuwa mmetimia mngetufunga. Hiyo hoja haina mashiko.

Zungumzia hali iliyopo kwani kuna mtu aliwatuma mpate red card?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama umekasirika???

Pole eeh nakwambia kwa ile hali ya upambanaji tuliyokuwa nayo baada ya redcard endapo tungekuwa kamili,tungewafukunyua ,
Unabisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumebebwa wapi wewe.

1. Nyie mmeshika mara mbili ndani ya box

2. Ile rafu ya Gunduz kwa mount ili iwe straight red card.

Ila mmejitahidi bhana hongereni. Mmeonesha uhai hata kama mko pungufu. Tusiishie kuponda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani game ya kwanza yule joginho nae alistahili redcard mapema sana...na tungewababua,ila refa aliwabeba sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We have a poor mentality ever..

Hawa boys sio wakuwategemea kabisa kutupa matokea. Mtu kama batshuayu anakosa goli kwenye clear chance matokeo yakiwa 2-2 alafu unacheka.. Mtu kama huyu sioni kama ana umuhimu wa kwenye hii timu..

Poa barkley ni average team player kwa kweli,, sio lampard anatushika masikio kua anauwezo wa kante..

Left wing anahitajika,, its better to die trying na sio kukaa tuu.. Naona kwa upande wa kushoto wamchukue hata zaha tu atatusaidia ...

Tammy & kepa wanahitaji watu wa kuwapa competition , vinginevyo naona kabisa kila siku uwezo wao unazidi kupungua..
Spirit of fighting imepungua sana kwa sababu they are untouchable

Lampard nae kwa upande wangu naona ni kama anatembelea nyota ya sari tu,, kuanzia mfumo hadi position za wachezaji.
Sema Sarri ali"enjoy uwepo wa hazard..
Ila mbinu ni ile ile ,,kila siku atatudanganya mashabiki kua they have to shoot(outside the box), lakini kimsingi mazoea hujenga tabia..
Naamini mazoezi wanayoyafanya nfo result ya tunachokiona kwenye mechi..


Tunatakiwa ku"improve kwenye set pieces na pia long shoot range,, vinginevyo kila siku tutabaki kujisifia tu tumecheza vizuri ila matokea hamna..

N.b hawa ma"legend Mung anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Lampard Out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile goal la kwanza siwezi mlaumu kepa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo fundi alikimbia kutoka mbali sana alikiwa anakuja kama kifaru aliyejeruhiwa.....kumlaumu kipa ni kumdharau GABI MART
images%20(2).jpeg
tapatalk_1579684115137.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal jana walikuwa na bahati tena sana
Kuteleza kwa Kante goli likaingiua
Abrahamu kaumia akashindwa kumzuia Bellerin asifunge
Barkley header Leno kaokoa
Kwenye penalty box wameshika Zaidi ya mara 2 nadhani, refa na VAR wakamezea
Batshuayi akaokoa badala ya kufunga
Hii mechi jana ilitakiwa Chelsea ishinde 7-0
Ndo umevuta ya aina gani hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom