milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
KEPA TUMEMPIGIA VISHUTI 2 YAANI 2 PEKEE NA YOTE YAMEINGIA NYAVUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
KEPA TUMEMPIGIA VISHUTI 2 YAANI 2 PEKEE NA YOTE YAMEINGIA NYAVUNI
Haha pazia lileKEPA TUMEMPIGIA VISHUTI 2 YAANI 2 PEKEE NA YOTE YAMEINGIA NYAVUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia sana humuNarudia tena na tena....Keppa ni goli keeper mbovu kuwahi kutokea Chelsea.... mtu wa kwanza kubadilishwa ni goal keeper wetu... ana tu cost sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati Kepa £72m...,Leno £25mNiliwaambia sana humu
Kepa Alikuwa anauzwa £18m ,Madrid wakasita kumchukua ,miez miwili baadae Chelsea akauziwa kwa £72m
Sasa unamfananishaje Kipa bora kbsa Kepa na uyo takataka Leno? Kufungwa ni kawaida ..Kepa ana EPL mbili, Europa moja tena kabebea kwenu, ana FA ..kafika fainal za kutosha..Ati Kepa £72m...,Leno £25m
Sasa unamfananishaje Kipa bora kbsa Kepa na uyo takataka Leno? Kufungwa ni kawaida ..Kepa ana EPL mbili, Europa moja tena kabebea kwenu, ana FA ..kafika fainal za kutosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
!? Sidhani kama Frank Lampard yupo serious na kazi.
Mkuu redcard inatosha nadhan mjiulize mmeshindwaje kupata ushind kwa timu iliyo pungufu kwa muda wote uleMmebebwa kishenzi yani. Mmeshika mipira mara kibao kama mnacheza rede vile.
All in all hata sisi tumecheza usenge. Yaani kuna timu ukicheza nazo ukiona umepigwa kadi nyekundu basi utajuta kuzaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kante mhuni sana aise
Sipat pic pale angekuwa barkley,mount au odoi sijui pangekiwaje humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
We have a poor mentality ever..
Hawa boys sio wakuwategemea kabisa kutupa matokea. Mtu kama batshuayu anakosa goli kwenye clear chance matokeo yakiwa 2-2 alafu unacheka.. Mtu kama huyu sioni kama ana umuhimu wa kwenye hii timu..
Poa barkley ni average team player kwa kweli,, sio lampard anatushika masikio kua anauwezo wa kante..
Left wing anahitajika,, its better to die trying na sio kukaa tuu.. Naona kwa upande wa kushoto wamchukue hata zaha tu atatusaidia ...
Tammy & kepa wanahitaji watu wa kuwapa competition , vinginevyo naona kabisa kila siku uwezo wao unazidi kupungua..
Spirit of fighting imepungua sana kwa sababu they are untouchable
Lampard nae kwa upande wangu naona ni kama anatembelea nyota ya sari tu,, kuanzia mfumo hadi position za wachezaji.
Sema Sarri ali"enjoy uwepo wa hazard..
Ila mbinu ni ile ile ,,kila siku atatudanganya mashabiki kua they have to shoot(outside the box), lakini kimsingi mazoea hujenga tabia..
Naamini mazoezi wanayoyafanya nfo result ya tunachokiona kwenye mechi..
Tunatakiwa ku"improve kwenye set pieces na pia long shoot range,, vinginevyo kila siku tutabaki kujisifia tu tumecheza vizuri ila matokea hamna..
N.b hawa ma"legend Mung anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile goal la kwanza siwezi mlaumu kepa kabisa.KEPA TUMEMPIGIA VISHUTI 2 YAANI 2 PEKEE NA YOTE YAMEINGIA NYAVUNI
Sent using Jamii Forums mobile app