Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nililisemaga hili kitambo sana watu wakakaza shingo....
Ukiwaangalia

Chamakh
Bakayoko
Giroud
Sanogo
Mitchy
Laca

Walivyotoka ligi1 kuja huku epl viwango vilishuka.....

Hazard,bernado na yule aliyekuwa westham ndio waliuwasha.....

Yaani ukiflop epl kule ligi1 unaweza kwenda kutamba....ila kinyume chake haiwezekani,hii ligi1 bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Laca mbona yupo vizuri kiongozi... Labda Pepe ndo anaanza kurudi...
Kiufupi wachezaji wa ligue 1 wakija ligi kama EPL wanapata wakati mgumu kiasi na baadhi baadaye hurudi kwenye viwango vyao.... Fabinho,Laca,Pepe nk.
 
Lacca yule wa Lyon alikuwa hatari kuliko huyu wa Arsenal....muangalie Lemar pale Atletico mechi 21 goli 0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lacca yule wa Lyon alikuwa hatari kuliko huyu wa Arsenal....muangalie Lemar pale Atletico mechi 21 goli 0

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli laca kuna msimu alifikisha 31 goals ligue 1.... Ibra alifikisha hadi 38..lakini EPL sijui aliishia mangapi... Mcheki yule Ndombele wa toti.... Ni kweli kaka ligue 1 bado ndo maana hata magoli yake yanapointi chache kwenye kiatu cha ulaya.... Kusema ukweli mi nakuwaga na wasiwasi hadi na mbappe kwenye ligi kama EPL.
 
Mbappe ni mtu mwingine yule akienda ligi yoyote anakiwasha cos jamaa ana strong metality lakini style of playing yake Ina fit kwenye soka la sasa.
 
Kuna jamaa hapo juu amesema chelsea sio club ndogo ya kugombea wachezaji na westham,m na Aston villa. Huyo barbosa alishuka kiwango inter akatolewa kwa mkopo flamengo. Kumsajili huyo ni kuleta batshuayi mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanabadilika mkuu. Kwakua Inter walimtoa kwa mkopo haimaanishi ndio keshafail. Nimeangalia anaonekana kuwa vizuri anaweza akampa changamoto Tammy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi Chelsea wanamtaka LB wa Porto kwa jina ni Alex Telles
Huyu ni LB mbunifu, mwepesi, defensive na mfungaji na pia anba assists za kutosha sio kama akina Alonso na Emerson
Chelsea ikimchukua huyu mbrazil tumeula
Anauzwa kwa €40m
 
Kuna jamaa hapo juu amesema chelsea sio club ndogo ya kugombea wachezaji na westham,m na Aston villa. Huyo barbosa alishuka kiwango inter akatolewa kwa mkopo flamengo. Kumsajili huyo ni kuleta batshuayi mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutolewa kwa mkopo mbona salah n cuadrado walitolewa kwa mkopo chelsea na baadae kuuzwa
Wachezaj wanabadilika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi Chelsea wanamtaka LB wa Porto kwa jina ni Alex Telles
Huyu ni LB mbunifu, mwepesi, defensive na mfungaji na pia anba assists za kutosha sio kama akina Alonso na Emerson
Chelsea ikimchukua huyu mbrazil tumeula
Anauzwa kwa €40m
Tukishindwa huyu kuna yule lb wa ajax nagliafico yuko vizuri sana yule,
Twende hata ajax tukamchukue yule
Na yule middle yao don van de beek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom