Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukimuondoa Timo Werner na Jadon Sancho, wachezaji wengine ambao Chelsea inawafukuzia kama ni kweli ni caliber ya Westham, Newcastle sijui kwa nini
Mchezaj anaweza akakuza kiwango chake inadepend na tim atakayekuwepo
Mfano ni mane, mane aliyekuwepo southampton na huyh wa liver ni tofauti tusimjudge mchezaji kwa kuwa yuko team ndogo or hakuna tim yeyote kubwa inayomfukuzia
Mbona mane wakati yuko southampton sialikuwa anaonekana ni mcheza mdogo tu but now ukiangalia thaman yake ni kubwa si chini ya £150m same to robertson ambae alitokea sijui championship or skybet league one
Hakuna team leo hii ambayo haitaku kuwa na mtu kama mane or robertson wachezaji wako wengi tu ambao mwanzon walionekana niwachezaj wa team ndogo now wanaonekana ni wachezaj wa team kubwa
Mchezaji huenda akatokea tim ndogo akaja kudevelop na kuwa mchezaji mzuri katika team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kiongozi huo ndo ukomavu wa mpira
Hujielewi,
Kwahiyo hao FA waliomwadhibu huyo refa kwa kosa la hiyo mechi nao hawana ukomavu wa kimpira????

Wewe unajua kuliko FA????

Yote ya yote game ilishaisha na matokeo yalishaonekana so hizi ni soga za kishabiki tu,wachezaji kazi yao kucheza na sisi mashabiki kuongea so ni kawaida tu.....

Hongera kwa ushindi mkuu,

Ninachoshukuru nimejipoza machungu kwa jitu fulani juzi...hapa nipo shwari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi imeshaisha haina haja ya kulaamu kwa maana haitoweza kubadili matokeo ila sio unaanza kusema mara wamebebwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia mastiker waliotoka france siku za karibuni Batshuayi, Lacazette, viwango vyao sio vikubwa compaired na wakati wakiwa france, hiyo ligue 1 haina ushindani na mikiki mikiki

Twendeni tukasajili bundasliga angalau kuna changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachoongea kuhusu kuflop ni kweli ila mi sidhani wanaflop eti kwa sababu wanatoka Ligue 1. Mbona Hazard, Anelka wameshine vizuri. Mi nadhani kiwango cha mchezaji ni kulingana na mentality yake mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Werner is also understood to have a release clause in his contract which means he would be available for a cheaper price in the summer transfer window than in January. However, even if any club triggers the clause this month, Werner has rejected the idea of moving in this transfer window.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanajikuta kanaleta nyodo. Ngoja Bayern na Borrusia warudi kwenye moto hata huo ubingwa ataukosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sancho, at the top of Chelsea’s list, remains on a long-term contract at Borussia Dortmund with the Bundesliga side’s hierarchy keen to hold onto the 19-year-old until at least the end of this season.

Werner, meanwhile, is dreaming of winning the German league title with RB Leipzig and is keen to put any talk of his future on hold until after Euro 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Werner anataka ajitengenezee ufalme kwenye hiyo timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmesoma mahali fulani... .

Acha na Sancho hebu njoo kwa Werner.

Hivi kweli tulutegemea katika situation ambayo RB leizpig wapo vizuri na wanaongoza league wamuuze mchezaji wao muhimu kama Werner?
BAD NEWS USAJILI WA SANCHO NA WERNER MPAKA DIRISHA KUBWAAAAAA.

Dortmund want to keep the winger until at least the end of the season while the Germany international won't move until after Euro 2020

Chelsea will have to wait until at least the summer to try and secure the signings of top attacking targets Jadon Sancho and Timo Werner.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom