Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Werner anaangalia zaidi bayern kuliko ata huo ubingwa na leipzig..

Maana amesema hadi baada ya uero 2020.. Ndo ataweza kufikiria..

Summer release clause yake itashuka hadi Ę20mil... Ndo maana ingekua ni maamuzi ya pesa,, ni bora leipzig wamuuze saiv..

Ila naona kabisa wanawaandalia bayern mchezaji..

Kuhusu dembele, jamaa wamegoma Ę40mil,, ila walivo wajinga wanamtaka giroud [emoji23][emoji23].. Yaani apo ndo sijawaelewa kabisaa
Bernado silva ametoka ligue 1 angalia kiwango chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmesoma mahali fulani... .

Acha na Sancho hebu njoo kwa Werner.

Hivi kweli tulutegemea katika situation ambayo RB leizpig wapo vizuri na wanaongoza league wamuuze mchezaji wao muhimu kama Werner?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona aston villa wanamtaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Villa watepewa drinkwater na pia naona batshuayi wanataka wampeleke pia villa..

Kumbuka drinkwater kaichezea burnley mechi mbili tu msimu huu .
Moja walifungwa na man city 4-1,

Ila kituko saidi ni walipigwa na sunderland 3-1,, naona ndo maana wameona jamaa hawafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Werner anaangalia zaidi bayern kuliko ata huo ubingwa na leipzig..

Maana amesema hadi baada ya uero 2020.. Ndo ataweza kufikiria..

Summer release clause yake itashuka hadi Ę20mil... Ndo maana ingekua ni maamuzi ya pesa,, ni bora leipzig wamuuze saiv..

Ila naona kabisa wanawaandalia bayern mchezaji..

Kuhusu dembele, jamaa wamegoma Ę40mil,, ila walivo wajinga wanamtaka giroud [emoji23][emoji23].. Yaani apo ndo sijawaelewa kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah... tutafanya swap tu... na pesa kiasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dili ya moto ni uyo striker wa spain olmo, kuna striker wa cska moscow.

Nahisi ndo dili zilizohai hadi muda huu,,

Ila Lampard kaishapewa paund 150 mil..
So tusubiri tu tuone...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo Olmo ni atavking midfield wakati huyo wa CSKA ni striker ana miaka 21 mi naona huyu striker kwa sasa hawezi kuwa msaada zaidi anaweza kuwa flop tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea In Talks To Sign Serie A Star For £100million

Chelsea are keen on signing central defender Kalidou Koulibaly (28yrs) from Napoli as the Senegalese defender’s agent has reportedly had discussions with the London club.
 
Timo Werner kasema hategemei kuondoka RB Lepzing katikati ya msimu Kwani anataka kubeba ubingwa wa Bundersliga na Lepzing napia hayuko tayari kuja kustrugle ku adapt ligi mpya katikati ya msimu. Kama ni kuondoka ni mpaka msimu uishe
 
Tuchukue huyo ATTACKING MIDFIELDER anaweza kuwa msaada. Ila kwa striker tukiwakosa dembele na Werner tutulie kwanza.

Muda mwingine tujitoe ufahamu tutume ofa kumtaka Lewandowski, Auba, mauro icardi, harry kane mbona mnakuwa waoga waoga

Lewandowski mshahara huo hapo £500 kwa wiki atakataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Leteni £1B tuwape Auba&Laca
 
Nililisemaga hili kitambo sana watu wakakaza shingo....
Ukiwaangalia

Chamakh
Bakayoko
Giroud
Sanogo
Mitchy
Laca

Walivyotoka ligi1 kuja huku epl viwango vilishuka.....

Hazard,bernado na yule aliyekuwa westham ndio waliuwasha.....

Yaani ukiflop epl kule ligi1 unaweza kwenda kutamba....ila kinyume chake haiwezekani,hii ligi1 bado sana
Angalia mastiker waliotoka france siku za karibuni Batshuayi, Lacazette, viwango vyao sio vikubwa compaired na wakati wakiwa france, hiyo ligue 1 haina ushindani na mikiki mikiki

Twendeni tukasajili bundasliga angalau kuna changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom