Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku zote hata mwanaume akimtongoza demu akimkosa ataanza kusingizia mara demu mwenyewe mbaya hana mvuto

ndo wewe sasa unafanana na aina hiyo ya wanaume umeshindwa kutufunga ulikuwa unaongoza kwa dk 83 na baada ya dk 90 umegongwa viwili unaanza kusema kuwa refa ametubeba

Mpira hauko hivyo unavyoonekana hauna ukomavu wa mpira Mbona umeshindwa kutufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujielewi,
Kwahiyo hao FA waliomwadhibu huyo refa kwa kosa la hiyo mechi nao hawana ukomavu wa kimpira????

Wewe unajua kuliko FA????

Yote ya yote game ilishaisha na matokeo yalishaonekana so hizi ni soga za kishabiki tu,wachezaji kazi yao kucheza na sisi mashabiki kuongea so ni kawaida tu.....

Hongera kwa ushindi mkuu,

Ninachoshukuru nimejipoza machungu kwa jitu fulani juzi...hapa nipo shwari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unateseka? Kwani chelsea kanyang'anywa point?
Hujielewi,
Kwahiyo hao FA waliomwadhibu huyo refa kwa kosa la hiyo mechi nao hawana ukomavu wa kimpira????

Wewe unajua kuliko FA????

Yote ya yote game ilishaisha na matokeo yalishaonekana so hizi ni soga za kishabiki tu,wachezaji kazi yao kucheza na sisi mashabiki kuongea so ni kawaida tu.....

Hongera kwa ushindi mkuu,

Ninachoshukuru nimejipoza machungu kwa jitu fulani juzi...hapa nipo shwari kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wachambuzi wengi wanasema BATSHUAYI ana kiwango bora kuliko huyu Dembele? Katika matop striker duniani Huyu jamaa 20 bora haingii.

Kuliko kumchukua huyu jamaa bora kumchukua Cavan wa Psg.

Sent using Jamii Forums mobile app
Batshuayi ana miaka 26 huyu Dembele ana miaka 23. Batshuayi alikua mzuri alipokua Marseille ila alipokuja Chelsea akashindwa kugombania namba na kina Costa yaan mpaka hapo kesha prove failure.

Kiuchezaji Dembele namuona ni kama Benzema ajae. Batshuayi bado namtafuta ni nani ajae.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom