Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanini tu
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,
Kwani vikosi vya wengine vikoje?

Piga haoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓

PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG

Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Yeyote, kwenye mtoana sio kama group stage. Hata timu bora inaweza kutolewa kwenye hii stage
 
Mazungumzo ya mkataba wa Willian waanza vinginevyo wakishindwa kuelewana na klabu, agent wake ataanza mazungumzo na vilabu vya nje kwa ajili ya kuingia kuachana na Chelsea.

Willian said: “I like the club very much, I feel very welcomed here, as well as my family, and we love living in London.

“However, I’m in the middle of the season and I try not to think about it so as not to lose focus on the field. My agent and the club are talking and I hope we can have some good news soon.”
 
Crystal Palace wameweka bei ya Zaha ya paundi mil 80. Lampard kwenye mfuko wa usajili wa January amepewa paundi mil 150. Hapo hapo Rodgers kasema Ben Chiwel hauzwi. Kazi ipo
 
Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓

PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG

Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
King wacha hizo huyo Leipzig saizi yetu hana tofauti na ajax ,tumewekeza maombi hapa.
 
Crystal Palace wameweka bei ya Zaha ya paundi mil 80. Lampard kwenye mfuko wa usajili wa January amepewa paundi mil 150. Hapo hapo Rodgers kasema Ben Chiwel hauzwi. Kazi ipo
Huyu Zaha ana nini cha maana kufanya asajiliwe Chelsea. Ni moja kati ya sajili ambazo mimi sipendi zitokee darajani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli LAMPARD yupo serious kumsajili Zaha. Huyu jamaa sijawahi kumuelewaga mbona sio mkali kiivyo ni machachari tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wanaona nini kwa Zaha na hata ivyo nafasi anayocheza Zaha (LW) kwa Chelsea tayari wapo watu wa maana tu kama Pulisic na Odoi. Upande wa RW ndio hasa unahitaji watu Willian peke yake hawezi na Pedro kashindwa kumpa changamoto Willian sasa hii board ya Marina inataka kufanya blunders.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini tu
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,
Huo ndo ukweli wenyewe nakwenye mpira chochote kinaweza kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli LAMPARD yupo serious kumsajili Zaha. Huyu jamaa sijawahi kumuelewaga mbona sio mkali kiivyo ni machachari tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hata mimi simwelewi kabisa Lampard, Zaha sijawahi kumkubali, nasikia anamtaka pia sancho, sijui na huyo nae hata ni wa nini wakati sahizi tu pale mbele anao wachezaji hajui hata ampange nani!. Bora asajili beki na kipa tu ndio changamoto.
 
Lampard on Zaha, Chilwell and Ake.
When asked about the club’s interest in those three players, Lampard said on Friday afternoon:
‘We want a top calibre of player who can improve us.
‘I won’t hone in on those three but I’ve said before I’m happy with the squad. We have to look [at signing players] if we can. ‘It is a joint-effort with the scouting teams, the board, the owner, myself. We work together.
 
Sancho ni mtu.... ana offer vitu vingi... Anadribble, anauwezo wa kufunga kutokea mbali pia anatengeneza assist nyingi...
Hapa hata mimi simwelewi kabisa Lampard, Zaha sijawahi kumkubali, nasikia anamtaka pia sancho, sijui na huyo nae hata ni wa nini wakati sahizi tu pale mbele anao wachezaji hajui hata ampange nani!. Bora asajili beki na kipa tu ndio changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom