Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

walicreate chances nyingi sana... ni haikuwa bahati yao tu...
Pamoja na chances walizocreate na 3 shots on target bado Ajax ya jana haikuwa aggressive sio ile tuliocheza nayo ya kutafuta magoli kwa nguvu, sio ile iliyocheza na Valencia kwa mara ya kwanza wakawabugiza 3-0. Hii ya jana ilikosa aggressiveness na pia washambuliaji muhimu kama akina Promes na Neres hawakuwepo ambao ndio walioisumbua sana Defense ya Chelsea na Promes alikuwa mojawapo ya wafungaji tena goli la kasi sana
 
Dull jr kazi mnayo kwenye europa wakina inter na ajax wapo na kuna wengine leo watakuwepo

Yaani hiyo arsenal yako anzen safari mapema ya kujiondoa huku europa kwa maana kitakacho watokea ni zaidi ya kifo hamna kingine zaidi
Hata wewe kuna barca,psg na bayern wote wanatamani wapangiwe Chelsea ambayo ndio inaonekana under wooh wooh wooh kamwene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili Chelsea ifanikiwe iepuke kuwafuatilia na kutaka kuwasajili wachezaji kama akina mbape, Neymar, Wilfred Zaha na wanaofanana nao hao
Pesa ndefu kama ya kuwanunua hao inaweza kuwanunua wachezaji wazuri wasio na majina makubwa ambao wataweza kuijenga timu kikemia na bado timu ikapanda na kuweza kushindania makombe makubwa
 
Rio Ferdinand on Kourt Zouma
Former Manchester United defender Rio Ferdinand has insisted that Kurt Zouma has all the ingredients to be a top-class centre-back and playing alongside Antonio Rudiger could see him produce his best form for Chelsea.

"He's got physicality, pace, he's strong and aggressive, hungry, there is an intensity to his game and a desire to defend," Ferdinand told BT Sport.

"I think he's grown on Frank (Lampard), Frank's been delighted with him, even in possession, because sometimes he can look a little bit unorthodox.

"He has made occasional mistakes but as someone who is inexperienced, in terms of the amount of games he's played, that can be expected.
 
Arsenal an Man U wapokeeni hao
  1. Group A: Club Brugge
  2. Group B: Olympiacos
  3. Group C: Shakhtar Donetsk
  4. Group D: Bayer Leverkusen
  5. Group E: Red Bull Salzburg
  6. Group F: Inter Milan
  7. Group G: Benfica
  8. Group H: Ajax
 
Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓

PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG


Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
 
Kwanini tu
Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓

PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG


Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,
 
Tuna mtaka huyo PSG ndo kibonde wetu ikishindikana tupewe hata juve
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom