42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Na ww ajax yupo mlangoni anakusubiri... au itapendeza wakukupanda na AS roma au Inter milanHongereni sana kwa ushindi wana Chelsea.
Barcelona wapo mlangoni wanawasubiri....
Na ww ajax yupo mlangoni anakusubiri... au itapendeza wakukupanda na AS roma au Inter milanHongereni sana kwa ushindi wana Chelsea.
Barcelona wapo mlangoni wanawasubiri....
He Higuain huyu huyu aliyekuwa Chelsea mkuu?na mkawa mnamuita Denis Kitambi?
Naomba kuuliza Chelsea wenzangu , hivi drow ya 16 bora ya mtoano inapangwa this Friday? Au badobado sana
Hahahah.... hivi mnakumbuka nyie mlimuuza Countinho msimu gani? The same kwa sanchez wakati anaenda man u?...
Najua kusajili lazima tutasajili... then hapo ndo tutajua itakuwaje...
tulikutana na SARI halafu bado tunamiliki ile bunduki yake joginho tutaitumia hiyo hiyo kumuua
Leipzig anatolewa macho na wengiChelsea has the following options in Round 16
- Juventus
-Barcelona
-Bayern munich
-PSG
-Leipzig
Kila la heri Chelsea![]()
Naomba kuuliza ivi kwa anayepigwa kwenye mtoano anaenda futuhi au habari yake ndo inaishia hapo
Leipzig anatolewa macho na wengi
Habari inaishia hapo....
Inaishia hapo hapo kwaheri mwalimu futa ubao.
Hongereni sana kwa ushindi wana Chelsea.
Barcelona wapo mlangoni wanawasubiri....

Ila hiyo Ajax ya jana ni fekiIla tuseme tu ukweli Ajax ni boya sana
Naomba kuuliza ivi kwa anayepigwa kwenye mtoano anaenda futuhi au habari yake ndo inaishia hapo
Ila hiyo Ajax ya jana ni feki