Willian alitolewa kwa sababu zipi hasa ikiwa alikuwa vizuri tu kiuchezaji leo?K*manina Nina hasira kingese . Timu imecheza kifala leo . Lampard anatakiwa afanye massive overhaul . Hasa kwenye defense na ushambuliaji . It's just absurd loosing a game in a stupid way like that
Niletee comment ambayo nishawahi kumuita beki bora. Aliimprove tu hajawahi kuwa boraFrom beki bora to beki mpuuzi
Huyo wilian mwenyewe ubayemtetea kakosa 2 goals badala ya kushoot anaweka maremboWillian alitolewa kwa sababu zipi hasa ikiwa alikuwa vizuri tu kiuchezaji leo?
Lampard alifeli sana kumtoa Willian kabla ya mechi kuisha
Bring back Peter Check, Chelsea is more disrespectful in laziness goals from keeper like the third goal which awarded by Kepa to Everton![]()
Hivi kolabaly wa napoli january hatuwezi kumng'oa NAPOLI?
Hali mbaya kuliko arsenal?Turudishieni 8 zetu tuwape Luiz wenu maana naona tangu kuondoka luiz hali mbaya....
Ni ngumu kufanya usajili wa kueleweka january.... Yaana hapa tujitahidi tu tumalize top 4 na hii team... then dirisha kubwa ndo tunaweza fanya sajili za kueleweka...Hivi kolabaly wa napoli january hatuwezi kumng'oa NAPOLI?
Napoli wameshaweka franchise tag kwa KoulibalyHivi kolabaly wa napoli january hatuwezi kumng'oa NAPOLI?
Kuupiga Mwingi FC
Tayari tumeshapata pa kutolea povu maana Pep Baguzi kuu la rangi limeshafungwa 2-1...Palivyotulia humu unaweza hisi EPL haikuepo hii weekend

Kweli pale mlilamba garasa. Kipa nambari moja kwa bei ya uhamisho.Nasikitika sana hiyo 80M tuliyomnunua KEPPA tutairudishaje, nani atakubali kununua shati kwa bei hiyo.