Winning Team never change Lampard anatuvunjia heshima kutompanga Left back Emerson au Alonso haijalishi wanamapungufu gani wanatusaidia kuliko Azpi kwenye game yoyote ,pia kumpanga Reece Right back badala ya Azp ni kuendelea kutukosea heshima, kumuacha Jorgihno nje na kulazimisha Mount acheze anatafuta kufukuzwa,bila sababu ameharibu combination ta Tomori na zuma walianza kuelewana na chelsea hatuna uvumilivu january ruksa kusajiri ,winning team never change
 
Joginho ana umuhimu wake sana huwa anatuliza presha na patnership yake na kovacic ilishaclick. Walikuwa wanatawala katikati kuzuia na kupandisha mashambulizi Mount wa nini sasa poor unoka.

Hata partneship ya zouma na tomori ilishaclick tungeenda nao hivyo hivyo hope tungepata matokeo.

Azipuleta kumpeleka kushoto was big mistake tungemuacha emerson na alonso tuu. Timu ingejitahidi kubeba madhaifu yao

Sijajua nini kimemkumba pulisic hafungi tena.

From top to bottom here we are.
Pulisic hawezi kufunga kama Emerson au Alonso na Jogihno hawapangwi kocha anajichanganya hovyo hovyo team ya ushindi haibadilishwi ujinga huu tutapata sare na Lile tutatolewa CL amevuruga kikosi cha ushindi mwenyewe akiri ikirudi tayari morali imeshuka ni kufukuzwa tu
 
Tomori bora kuliko Christansen
Kabalero bora kuliko Kepa
Willian bora kuliko Odoi
Jorginho bora kuliko Mount

Goli la kwanza udhaifu wa Christansen ulitucost
Goli la pili Zouma katuuza
Goli la tatu Keppa kauza timu kwa makosa yale yale ya kujitoa ufahamu
Combination au chemistry ya Zouma na Tomori ilishakuwa nzuri kocha asingeharibu
Chemistry ya Kovacic, Jourginho na Kante pia ilikuwa nzuri kocha airudishe
Kwa ujumla kukosekana na Jourginho kumeonekana leo pale ktki ndio penye tatizo kubwa
Pia Zouma hakuwa anamark washambuliaji, mfano goli la kwanza Zouma alikuwa anakimbia tu bila plan ya kumark hasa Richardlison alikuwa huru mno
Goli la tatu pamoja na makosa na Keppa bado Zouma angekuwa ana concetratiuon ya kutosha angeuwahi huo mpira au angempa presure Walcott ili asipate nafaso ya kutoa pasi
January lazima tusajili kama tunataka kubaki Championship
Man u wako nyuma yetu kwa point 5 kutoka kwenye gap ya point 11
Spurs wako nyuma kwa point 6
 
Ivi bado hamujafahamu kuwa kutokana na michezo mingi ya December (Ligi + CL) timu zinafanya rotation?

Mbona sisi tunapumzisha Salah, Mane, Firmino na TAA katika mechi zetu mbili zilizopita ikiwemo hiyo ya Everton ambayo Salah na Firmino walipumzishwa?
 
Winning Team never change Lampard anatuvunjia heshima kutompanga Left back Emerson au Alonso haijalishi wanamapungufu gani wanatusaidia kuliko Azpi kwenye game yoyote ,pia kumpanga Reece Right back badala ya Azp ni kuendelea kutukosea heshima, kumuacha Jorgihno nje na kulazimisha Mount acheze anatafuta kufukuzwa,bila sababu ameharibu combination ta Tomori na zuma walianza kuelewana na chelsea hatuna uvumilivu january ruksa kusajiri ,winning team never change
Lampard OUT
 
Pulisic hawezi kufunga kama Emerson au Alonso na Jogihno hawapangwi kocha anajichanganya hovyo hovyo team ya ushindi haibadilishwi ujinga huu tutapata sare na Lile tutatolewa CL amevuruga kikosi cha ushindi mwenyewe akiri ikirudi tayari morali imeshuka ni kufukuzwa tu
Lampard Out
 
Ivi bado hamujafahamu kuwa kutokana na michezo mingi ya December (Ligi + CL) timu zinafanya rotation?

Mbona sisi tunapumzisha Salah, Mane, Firmino na TAA katika mechi zetu mbili zilizopita ikiwemo hiyo ya Everton ambayo Salah na Firmino walipumzishwa?
Kweli kabisa

Tatizo huyu hawamfanyii rotation ndio maana anawafanyia revolution....

74417130_442974276630898_8889691881802413265_n.jpeg
 
Kuna kipa GHALI na GALI

huyu yupo kundi gani?

Maana mkiambiwa hili ni pazia mnakuja na povu
74417130_442974276630898_8889691881802413265_n.jpeg
 
Ivi bado hamujafahamu kuwa kutokana na michezo mingi ya December (Ligi + CL) timu zinafanya rotation?

Mbona sisi tunapumzisha Salah, Mane, Firmino na TAA katika mechi zetu mbili zilizopita ikiwemo hiyo ya Everton ambayo Salah na Firmino walipumzishwa?
Sio kila timu inauwezo wa rotation, lazima u-sacrifice baadhi ya competitions
 
Kwani hakuna mtu wa kumwambia huyo kipa hafai?
Usajili wa pesa ndefu, Chelsea kaharibu zote
 
Iwapo tutafukua Makaburi kuhusu alivyosifiwa Kepa hapa nadhani tutakimbiana.

Kuna waliofika kusema Kepa atampokonya namba De Gea kule Spain National Team.

Kuna waliokuwa wakisema Kepa ni bora kuliko Alisson.
 
Haaaaaa ata mwenyewe nashangaaa izi comment nazisoma kwenye uzi wa chelsea au kwingine ? Wafukulie ata mawili tu.
 
Sometimes nashindwa kuelewa keywords mnazotumia kana kwamba mnaishi sayari yenu wenyewe. Zouma kaitwa timu ya Taifa, Mabingwa wa dunia kama CB halafu bado unasema bomu, kavurunda, haya nyie wataalamu wa football kuliko Didier Deschamps Meneja aliyeipatia Taifa la Ufaransa ubingwa wa Dunia kamuona anafaa na kamuita kwenye timu ya Taifa. Marco Silva ana mpango wa kumnunua kabisa Chelsea wasipomuhitaji .
Hili hapa moja
 
Back
Top Bottom