Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Chelsea bingwa msimu huuWakat mwingne washabiki wa Chelsea muwe mna akiba ya Maneno
Kwa hiyo kipa unamuona ni mtu pale? Yaani huyu kepa ni mpumbavu sana always maamuzi yale yakijinga yanacost timu kumanina zake huyu.Inahitajika usajili mkubwa sana wa mabeki 4 pale nyuma waliopo sasa wote bechi. Lampard kipaumbele cha kwanza kwenye usajili ni mabeki 4 hapo nyuma.
Nimeangalia mpira kwa dakika 10 za mwisho aseeh nimebreka vibaya tena naanza kuangalia ndio nashuhdia tunapigwa goli la tatu. Hivi inakaje beki anafanya uzembe kama ule na hawa ndio wanasababisha Kepa analaumiwa. Lampard afanye maamuzi mazuri kumuacha nje kiungo anayefanya vizuri siyo maamuzi mazuri.Joginho ana umuhimu wake sana huwa anatuliza presha na patnership yake na kovacic ilishaclick. Walikuwa wanatawala katikati kuzuia na kupandisha mashambulizi Mount wa nini sasa poor unoka.
Hata partneship ya zouma na tomori ilishaclick tungeenda nao hivyo hivyo hope tungepata matokeo.
Azipuleta kumpeleka kushoto was big mistake tungemuacha emerson na alonso tuu. Timu ingejitahidi kubeba madhaifu yao
Sijajua nini kimemkumba pulisic hafungi tena.
From top to bottom here we are.
Turudishieni 8 zetu tuwape Luiz wenu maana naona tangu kuondoka luiz hali mbaya....Inahitajika usajili mkubwa sana wa mabeki 4 pale nyuma waliopo sasa wote bechi. Lampard kipaumbele cha kwanza kwenye usajili ni mabeki 4 hapo nyuma.