Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard Out
Joginho ana umuhimu wake sana huwa anatuliza presha na patnership yake na kovacic ilishaclick. Walikuwa wanatawala katikati kuzuia na kupandisha mashambulizi Mount wa nini sasa poor unoka.

Hata partneship ya zouma na tomori ilishaclick tungeenda nao hivyo hivyo hope tungepata matokeo.

Azipuleta kumpeleka kushoto was big mistake tungemuacha emerson na alonso tuu. Timu ingejitahidi kubeba madhaifu yao

Sijajua nini kimemkumba pulisic hafungi tena.

From top to bottom here we are.
 
Huyu itamchukua siku mbili mpaka tatu kujitokeza tena hapa....Everton

Hahahahaahhaahahahahaha
Just haahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
ahhaahahahahahahahahahahahahahahaha
Hahahahahahahahahahahahahaa
Hahahahahahahahah
 
Mech ya leo nilisema tangu mapema itakuwa ngumu

Tunafungwa magoal ya kizembe
Rudiger arudi then tusajil beki mwingine wa kati na pembeni
Luiz atawafaa sana kumbukeni ndio kawapa ubingwa wa mwisho....na toka atoke hapo imekuwa hahahahahahahahahahaha just hahahahahahahaahhahahahahahahahaha
Hahahahahahaha
Hahahahahahaha na anapatikana kwa paun 8 m tu wala hatutaki cha juu
 
Chelsea ni timu ndogo sanaaaaaaa yaani ni overrated club na muda ni hakimu mzuri sana....
Hahahahahahahahaha hahahaahahah
Hahahahahaha
Hahahahahaha
Hahahahahah
Hahahahahahahahaahhahahahshahshshshshshshshshshshshahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahagagagagagsgagagahahahagahahahahaha
 
Msiumie jamani ..nyie sio wa kwanza kufungwa...hebu angalieni mwenzenu arsenal alifungwa..spurs pia alifungwa.
 
Menata mtacha au kakolanya watawafaa sana huyu kepa tulipigwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom