Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hongereni kwa kupata msamaha, kila la heri kwenye kugombea namba 2, 3 na 4.
Vile ulivyoandika utadhani ukishajibiwa achukuliwe hata ditram nchimbi utaweza kumnunua...hahahaaaaaaOk ok tumchukue nani kwa sasa asaidizane na Tammy pale mbele..?
Mtani naona umeumia kwa Chelsea kufunguliwa kifungo nasikia teyali uko lampard kashapewa paundi mil 200 za usajili kazi imebaki kwake tu.Vile ulivyoandika utadhani ukishajibiwa achukuliwe hata ditram nchimbi utaweza kumnunua...hahahaaaaaa
Eti tumchukue nani aiseeeeehhhh....!
Tomori ni mfupi, tunapata shida sana kwenye mipira ya juu, kwa maana pale chelsea wachezajivwengi ni wafupi..
Ndio maana christensen anapata nafas, hata alonso angepata nafas sana, ila yule ni kilaza wa mwisho kwenye kukaba
Hawa Fifa nao wawe na msimamo ,wasiwe malaya wa maamuzi maana tunaoumia ni sisi....Mtani naona umeumia kwa Chelsea kufunguliwa kifungo nasikia teyali uko lampard kashapewa paundi mil 200 za usajili kazi imebaki kwake tu.
Kwani na hilo dirisha kubwa unalolitaja tulifungiwa? adhabu ilikuwa madirisha miwili ya msimu uliopita na huu wa January. Sasa tumetumikia moja na hili la pili ndilo tulilosamehewa. Hilo linalofuata la kiangaza tulikuwa huru hata tusingesameheweJe wameturuhusu kusajili kwa January pekee au mpaka dirisha kubwa la usajili?
Set pieces inahitaji high level ya concetration kitu ambacho hawafanyi, n I Kante tu, Kepa anaongoza kwa kutokuwa makiniChelsea wachezaji wengi wanashindwa kufungwa kwa set pieces... chances zinatengenezwa nyingi lakini ndo hivo tena...
Hadi mapumziko pass 400 tayariHao jamaa wamefukuza kocha wanataka matokeo mazuri. Na wapo nyumbani. Watakuwa wameikamia hii mechi.
Joginho mechi ya 2 anapigwa bechi ni kwa ajili ya kupumzika au mfumo umebadilika? Lampard hataki tena pass nyingi
Tumepigwa cha pili mkuuHii mechi siangalii nafuatilia comments za half time Chelsea fc facebook page.
Wengi wana comments Chelsea inapiga pass za hatare kwenye box ya adui kama Barcelona ya pep hawapigi mashuti langoni.
Zouma na Christensen wanapigiana pass nyingi za nyuma kumvuta adui
Azipiculeta apande wa kushoto ameumaster hakuna haja ya Emerson na Alonso.
Lets go blues
Wewe utakua Bundi maana unanusaKuna harufu ya msiba hapa.
Sijui anachodhamiria ni nini?Hao jamaa wamefukuza kocha wanataka matokeo mazuri. Na wapo nyumbani. Watakuwa wameikamia hii mechi.
Joginho mechi ya 2 anapigwa bechi ni kwa ajili ya kupumzika au mfumo umebadilika? Lampard hataki tena pass nyingi