Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,347
- 5,679
Huyo jamaa aje tu awe msaidizi pale Chelsea
Jamaa wanakumbushia
![]()
Jamaa wanakumbushia
![]()
huyu hapana aisee, nidhamu yake ni 0 kabisa atakuja kuharibu timuHatutaki ujinga.! View attachment 1283644
Aiseee hebu mpe heshima yake diego costa... Hivi wewe ulishaona Diego Costa analaumiwa kama anavolaumiwa Tammy? Hata kama Diego alikuwa hafikishi goals 20 kwa msimu? Unadhani kwanini?
Simply ni kwamba kipindi cha nyuma wanaofunga katika team walikuwa wengi tofauti na sasa...
Huenda Diego Costa angekuwa pale mbele kwa team ha sasa angekuwa hata na 15+ goals kwa team ya sasa...
Afu inakuaje tunarudiana na Southampton kabla hatujacheza na kibonde arsenal.?
Mkuu hiyo CB under 18 inamuweka nje hadi Zouma? Kwa nn tusimrudishe hata Ake Nathan?Baada ya January mambo yatakuwa hivi
![]()
Hivi vitu vinatudhalilisha mno sisi Chelsea fansHatutaki ujinga.! View attachment 1283644
Mkuu Tammy ni mchezaji mzuri ila unapomfanisha na Costa si vyema kwa sababu kila mmoja au uzuri na ubaya wake. Kwanza Tammy ana 22 yrs while Costa ana 30 smthing sasa unaposema Tammy ni bora zaidi ya Costa nashindwa kukuelewa kwa sababu wamecheza Chelsea vipindi tofauti kila mmoja huyu Tammy huu ndio msimu wa kwanza anacheza timu ya wakubwa hajamaliza hata msimu bado.Aiseer, itakuwa umeanza kuangalia mpira juzi, kuna kipindi costa alikuwa ovyo mpka alikuwa napigwa sub, tunamchezesha hazard false 9... kumbuka kipindi cha mwisho cha mourhino....
Then kipind tupo conte, watu walikuwa wanamlaumu sana costa...
Au nyinyi mashabiki kuwa mchezaji fulan akiondoka ndio anaonekana mzuri .
Kwangu mm tammy ni mzuri kuliko costa....
Strikers wachache katka umri wa Tammy watakupa magoli anayokupa TammyAiseer, itakuwa umeanza kuangalia mpira juzi, kuna kipindi costa alikuwa ovyo mpka alikuwa napigwa sub, tunamchezesha hazard false 9... kumbuka kipindi cha mwisho cha mourhino....
Then kipind tupo conte, watu walikuwa wanamlaumu sana costa...
Au nyinyi mashabiki kuwa mchezaji fulan akiondoka ndio anaonekana mzuri .
Kwangu mm tammy ni mzuri kuliko costa....
Auba ndo mbadala mzur endpo Arsenal watakubali hii biasharaOk ok tumchukue nani kwa sasa asaidizane na Tammy pale mbele..?
Hili ni kweli kabisa, huwezi kumuacha Tomori au Zouma kwa ajili ya mtu ambaye hakaproove lolote. Labda Striker na Left back ndo kuna uhitajiMounrinho haamini kama kupunguzwa kwa ban italeta mabadiliko Chelsea hata kwa bajeti ya mabilioni kwa sababu anaamini Chelsea tayari ina wachezaji wazuri
“..............not easy to get better players than they have – they have very good players.
“I don’t think even with a ban or even with a hypothetical multi-million budget to spend, I’m not very, very sure they can get much better players than they have.”
Hawa jamaa mbona hawana msimamo,hovyo kabisa
Je wameturuhusu kusajili kwa January pekee au mpaka dirisha kubwa la usajili?Mbona partnership ya ZOUMA NA TOMORI ilishaclick imekuwaje lampard amemuondoa TOMORI anampanga Christensen?
Asante mkuu.Mkuu madirisha yote tunasajili la JANUARY na la MAJIRA YA JOTO.
Ok ok tumchukue nani kwa sasa asaidizane na Tammy pale mbele..?
Mbona partnership ya ZOUMA NA TOMORI ilishaclick imekuwaje lampard amemuondoa TOMORI anampanga Christensen?
Hili ni kweli kabisa, huwezi kumuacha Tomori au Zouma kwa ajili ya mtu ambaye hakaproove lolote. Labda Striker na Left back ndo kuna uhitaji