Dah huko mbeleni kuzifunga timu za TOP 6 itakuwa changamoto
Yeah, ngoja tusubriDah taarifa njema kumbe rufaa inajabiwa leo. Mungu saidia January tusajili.
Hapo umenena mkuu maana uyo Dogo kunamda anazingua sanaTukishinda rufaa usajili wa kwanza na wa haraka January ni striker wa kusaidiana na TAMMY kutupia magoli.
Kabisa. TAMMY ana miaka 22. Wadau wanamtetea bado mdogo anaendelea kujifunza.
Swali Ronney, Lukaku, Torres, Suarez wakiwa na umri wa miaka 22 walishafunga magoli mangapi epl?
TAMMY anastruggle kuzifunga timu ndogo zile timu kubwa ndio kabisaa kupata goal ni maajaliwa.
Namuona kama sio striker wa kumtegemea pale chelsea kwa sasa labda huko baadae.
Kwa sasa tunahitaji stiker makali, mwenye uchu wa magoli, mkakamavu, mbunifu atuvushe kwa misimu ambayo Tammy anapata uzoefu.
Chelsea ya sasa inatengeneza nafasi nyingi sana za kufunga, wamaliziaji sasa wa kuweka mpira nyavuni ndio majanga. Na mnaposhindwa kutumia nafasi nyingi kufunga magoli kinachofuata ni kufungwa.
Ndugu huko nyuma Tammy kufunga magoli EPL ilikuwa ni changamoto na sasa hiyo changamoto imeondoka. Hata hiyo changamoto ya kuzifunga top 6 itayeyuka kama barafu. Mimi bado namuamini sana Tammy. Hata tukiingia sokoni tukamnunua mfungaji hodari kaliba ya Mbape bado Tammy atakula nao sambamba au kuwazidiDah huko mbeleni kuzifunga timu za TOP 6 itakuwa changamoto
Naunga mkono madaChelsea ya sasa hatuna shida na attacking line kivile, shida kubwa ipo kwa defensive line..
Katika premier karibu kila mechi tunapata goli, mechi ambayo hatujapata goli ni weekend iliyopita tu..
So huwez sema tunashida na mmaliziaji, na kwa mafoward wa sasa, ni ngumu sana kumpata foward kama suarez... karibu wengine ni afadhari ya tammy
Mechi 14 goli 12 na assists 3
Mechi 28 goli 24 na assists 6
Mechi 38 goli 33 na assists 8
Direct aljebra
Hii habari umeitoa wapi mana me nmehangaika kote lkn cjaona habari kama hiyo? zaidi ya kwamba ndani ya saa 48 majibu yatakuwa tayariBreaking News: The Court of Arbitration for Sport has made the decision to reduce Chelsea Football Clubs transfer ban, which was imposed on them early this year. This means that Chelsea will be able to purchase players during the January 2020 transfer window.
¡....???
Kesho lazima uliwe msusa
Kwangu mm tamu ni foward mzur sana.... nikimlinganisha na waliopita ( except drogba )
Kwa maana diego costa mnaomtaja sana, kwa wastani alikuwa hafikishi goli 22 za premier, lakn kwa mpka sasa dogo kuna possibility kubwa
Kwanza umri wake mdogo, anapafanya vitu vikubwa ambavyo hata wakubwa hawafanyi..
Au nynyi mnataka foward kila mechi anashinda hatrick ??
Itakuwa ni FA labda..Afu inakuaje tunarudiana na Southampton kabla hatujacheza na kibonde arsenal.?
Kweli mkuuu?????Breaking News: The Court of Arbitration for Sport has made the decision to reduce Chelsea Football Clubs transfer ban, which was imposed on them early this year. This means that Chelsea will be able to purchase players during the January 2020 transfer window.
¡....???