Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Ulisafiri wewe?Ni Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Ulisafiri wewe?Ni Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Siyo kama ArsenalKuchakazwa kwenu ni kawaida tu mbona mshazoea
Lampard aliingia akiwa kaizalau mechi
Lampard katuuza alidharau hii game.
Yaani serious mbele una giroud na pedro kweli.
Sawa Tammy majeruhi basi kama unanza na Giroud si angeanza pia na Willian.
Huyu mo anayeshinda kwa bahati bahati hawezi kutukutaSasa matumain ya top4 yataanza kupungua humu
Mo is coming
Sisi Chelsea Halisi tunasema hivi
Lamps Out
Nona mna chuki sana na lamardSisi Chelsea Halisi tunasema hivi
Lamps Out
Kawaida mkuu,tunakukaribisha pale Emirate leo kuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we kijana tangu upate kocha mpya umeanza usumbufu.
Kama wewe ulivyo na mahaba yaliyopitiliza kwa UnaiNona mna chuki sana na lamard
Ivi kumbe mnakuwaga na vimidomo namna hiiWacha maneno ya kujifariji wewe,
Wacha kulialia wewe,muliweka goli wavuni likakataliwa????Walifanya kila linalowezekanaView attachment 1277965
Kama wewe ulivyo na mahaba yaliyopitiliza kwa Unai
Sawa ila leo sijaona ule uchambuzi uliotukuka hapa wa mipasipasi ya jojinyo na afande kova na ile mitakolingi ya kanteUkweli lazima usemwe kuwa unai ni best coch
Saw mkuu ni tahadhari tuAcha kuchekesha watuHuyu mo anayeshinda kwa bahati bahati hawezi kutukuta
Wee tumeshakuzoea unajibu bila kusoma maandishi ya wenzako na ndio maana unajibu kila mtu ndani ya muda mfupi tena offpointKaka hivi nyinyi ni nani msifungwe???
Kiasi ulete kisingizio cha uchovu wakati SPURS,CITY,LIVER nao wanacheza uefa pia tena nyinyi game yenu ilichezwa mapema kuliko ya LIVER inamaana mlipata muda wa kupumzika mwingi kuliko Liver na wenzenu wameshinda ila nyinyi mmechabangwa HOME hahahaaaaaaaaaaa
Ila we ndugu utakua na matatizo kichwani. Ivi umeona nimelalamika hapo? Kupost hiyo picha ni likua namaanisha walidhamiria kutafuta ushindi walifanya lolote kuhakikisha nyavu zao gaziguswi. Sijapost hiyo picha kwa ubaya kwamba tumronewa.Wacha kulialia wewe,muliweka goli wavuni likakataliwa????
Au nyinyi ndio mlipunguziwa idadi ya magoli maana mngekufa 2 kiduara.....mjue na kushukuru alllllaaaaahhhhh
Ndugu leo upo ugenini haupo nyumbani. AseehKawaida mkuu,tunakukaribisha pale Emirate leo kunaView attachment 1277967