Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Babies....

Kwahiyo UEFA wanashiriki peke yao?
Liver hachezi uefa?
Liver inawachezaji walio komaa mno kalib First eleven yake yote wako above 25yrs,so huwezi linganisha na hawa ambao walio wengi ni maingizo mapya kabsa af wako below 22yrs
 
Ni Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Kunautofauti kdg hapo:Chelsea INA maingizo mengi mapya ya wachezaji so kucheze game nying mfululizo nichangamoto pili ndo mili yao ina adapt
 
Wee tumeshakuzoea unajibu bila kusoma maandishi ya wenzako na ndio maana unajibu kila mtu ndani ya muda mfupi tena offpoint
Keypoint ni UCHOVU wa uefa ,
Je, chelsea peke yake ndio wanacheza Uefa?
Sasa mm na ww nani yupo offpoint!!!?
 
Ila we ndugu utakua na matatizo kichwani. Ivi umeona nimelalamika hapo? Kupost hiyo picha ni likua namaanisha walidhamiria kutafuta ushindi walifanya lolote kuhakikisha nyavu zao gaziguswi. Sijapost hiyo picha kwa ubaya kwamba tumronewa.

Punguza mihemko ndugu
Hakuna mtoto mdogo hapa.....na hatuwezi fanana kifikra,wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana ,

Sasa hiyo picha ukimwambia mtu aitolee maelezo unafikiri itakuwa na maana hiyo unayosema wewe pekee????

Usijifungie kwenye box la fikra ndugu
 
Hakuna mtoto mdogo hapa.....na hatuwezi fanana kifikra,wewe uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana ,

Sasa hiyo picha ukimwambia mtu aitolee maelezo unafikiri itakuwa na maana hiyo unayosema wewe pekee????

Usijifungie kwenye box la fikra ndugu
Bado mihemuko ipo juu. Punguza ndugu halafu hujishtukii uko peke yako unayelilia hiyo picha. Lol
 
Liver inawachezaji walio komaa mno kalib First eleven yake yote wako above 25yrs,so huwezi linganisha na hawa ambao walio wengi ni maingizo mapya kabsa af wako below 22yrs
Kati ya mtu aliye na miaka 22 na aliye juu ya miaka 25 nani anapaswa kuchoka mapema?
 
Epl ni ligi ngumu sana na kibaya zaidi haitabiriki. Westham timu mbovu sana na kocha wao walianza kumuhesabia mechi.

Kwa vyovyote vile lazima wapambane wapate matokeo. Upande wa Lampard alidharau hii mechi kwa kurefer ubovu wa westham na uchovu wa UEFA. Alitegemea angekula pilau kuku ghafla akaletewa ugali tembele.

Kiufupi GAME PLAN ilifeli. Hili ni somo lingine kwa Lampard never underestimate the depth of water.

Pia game ya jana imetoa picha kwamba usajili ni lazima kuna wachezaji viwango vimeshuka sana. Tunaweza kudhani chelsea tunakikosi kipana la hasha.

Kwa sasa timu ifocus kwenye match za mbele tufufue form yetu ya ushindi mfululizo.
Kweli kabisa, kuna mambo sio ya kumuachia Mungu, sijajua ile combination ya Giroud na Pedro nani angefunga mana wote wamechoka, ila kuna kila sababu ya kufanya usajiri kutanua kikosi vinginevyo tutarajie mengine zaidi.
 
Wacha kulialia wewe,muliweka goli wavuni likakataliwa????
Au nyinyi ndio mlipunguziwa idadi ya magoli maana mngekufa 2 kiduara.....mjue na kushukuru alllllaaaaahhhhh
Mkuu hii ni kashfa kabisa😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom