DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Na mumegongwa hahahah mi nilijua tu lazma mugongweHamjacheza juzi mkuu,mumecheza jumanne ....so j5,alh,ijumaa mumepumzika ...nyie subirini kipigo msilete kisingizio cha uchovu
Na mumegongwa hahahah mi nilijua tu lazma mugongweHamjacheza juzi mkuu,mumecheza jumanne ....so j5,alh,ijumaa mumepumzika ...nyie subirini kipigo msilete kisingizio cha uchovu
Hahahahahaha this is footballAaah uchovu umeisha westham lazima wafe 3-1
Tuyaache hayo kwanza mkuu ...Watabadilika.
Arsenal wana wachezaji wazuri lakini kocha alishindwa kuwatumia.
Front three ya Arsenal kama ingepata kocha kama PEP au KLOPP ni bora kuliko ya Liverpool.
LACCA - AUBA - PEPE
Hawa ni Lethal attackers iwapo watapata kocha anayejua kuwatumia.
Kwanza Mimi sikubaliani na wengi wanaoamini Kuwa PEPE ni Flop.
PEPE ni very talented player but Emery kashindwa kumuadapt na EPL kutokana na kutokuwa na recognized system anayochezesha.
Anavuta bange kwanzaOluchunga yupo wapi?
Sisi Chelsea Halisi tunasema hivi3 Games without WIN
vs Man City → Lose
vs Valencia → Draw
vs Westham → Lose
More to come
.Wachawi mmeanza kujaa tena , wanafiki nyie mbona tulivyokuwa tunashinda hamkusogeza pua zenu humu
Kuna wenzenu wakija kwetu wanatuaminisha kwamba na nyie ni title contender kupitia vitoto vyenu hivyoGame plan Leo iligoma so next time tutarud katika ubora wetu