Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Bundi kahamia darajani.
Wanazingua wakae nje
Aaah uchovu umeisha westham lazima wafe 3-1
Wala hatuwezi mchukia.Punde si punde mtaanza kumchukia Lampard na kutaka aondoke wakati hapo nyuma mlikuwa mnamsifu sana. Ila sisi binadamu ni wanafiki sana aisee.
Nilijibizana na mjinga flani mechi iliyopita kukataa kuwa Giroud ni mzuri sana zaidi ya Willian alinipinga mno, bila shaka leo atakuwa kajionea mwenyewe uozo uwanjaniLampard katuuza alidharau hii game.
Yaani serious mbele una giroud na pedro kweli.
Sawa Tammy majeruhi basi kama unanza na Giroud si angeanza pia na Willian.
Chelsea mpo vizur, Leo mmepiga mpira mmoja mkubwa sana