Wewe wasemaPunde si punde mtaanza kumchukia Lampard na kutaka aondoke wakati hapo nyuma mlikuwa mnamsifu sana. Ila sisi binadamu ni wanafiki sana aisee.
Wachezaji wanauchovu na game za UEFA af ukizingatia bado niwatoto wanahitaji mda wa kupumzika
Uchovu unategemea na jinsi timu ilivyouchukulia huo Mchezo. The same UEFA wanaweza chenza timu nyingi, zingine wachezaji wao wakachoka labda walikamia na wengine walicheza kwa uangalifu waka reserve energy. Hii iko waziNi Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Babies....Wachezaji wanauchovu na game za UEFA af ukizingatia bado niwatoto wanahitaji mda wa kupumzika
Mumekurupuka machokoroniWewe wasema
SawasawaTuko vizuri bahati haikuwa upande wetu blue is always the best colour
Kuchakazwa kwenu ni kawaida tu mbona mshazoeaWakuu habari. Yaani jana sijapata muda wa kucheki game na sasa ivi ndio naingia mtandaoni nakuta mambo si mambo Westham wametuchakaza kwetu. Daah ila nimeangalia kikosi nahisi ndipo shida ilikuwepo au ni wap tena?
Wacha maneno ya kujifariji wewe,The Blues' good recent record against the Hammers [unbeaten at home against West Ham in their last 13 meetings] came to an end with a 1-0 loss
Yaani wanajitetea kipuuzi wakati hata RB nao wanacheza Uefa....Ni Chelsea pekee ndiye aliyecheza UEFA? Liverpool na Spurs hawakucheza?
Mambo ya kusema UCHOVU WA UEFA hiyo ni point dhaifu....Epl ni ligi ngumu sana na kibaya zaidi haitabiriki. Westham timu mbovu sana na kocha wao walianza kumuhesabia mechi.
Kwa vyovyote vile lazima wapambane wapate matokeo. Upande wa Lampard alidharau hii mechi kwa kurefer ubovu wa westham na uchovu wa UEFA. Alitegemea angekula pilau kuku ghafla akaletewa ugali tembele.
Kiufupi GAME PLAN ilifeli. Hili ni somo lingine kwa Lampard never underestimate the depth of water.
Pia game ya jana imetoa picha kwamba usajili ni lazima kuna wachezaji viwango vimeshuka sana. Tunaweza kudhani chelsea tunakikosi kipana la hasha.
Kwa sasa timu ifocus kwenye match za mbele tufufue form yetu ya ushindi mfululizo.
Kaka hivi nyinyi ni nani msifungwe???Uchovu unategemea na jinsi timu ilivyouchukulia huo Mchezo. The same UEFA wanaweza chenza timu nyingi, zingine wachezaji wao wakachoka labda walikamiua na wengine walicheza kwa uangalifu waka reserve energy. Hii iko wazi
Kwa Chelsea ilionekana pamoja na kuwa kocha alipanga timu ya pre-season lakini pia uchovu kwa baadhi ya wachezaji ulikuwa dhahiri
Kuhusu kikosi kwa kumbkumbu zangu hatuwahi kuwa na kikosi kipana Chelsea huwa tunakuwaga tu na wachezaji potential for time being so mimi leo sishangai hata kidogo kufungwa na Westham nyumbani kwa sababu tu hajaanzisha regular starter. Cha msingi ninachoona kikubwa ni kufanya usajili wa maana tu.Epl ni ligi ngumu sana na kibaya zaidi haitabiriki. Westham timu mbovu sana na kocha wao walianza kumuhesabia mechi.