Ndugu usiwaite mandazi. hao sio mashabiki, wengine hapo ni Manure, arseanal wanachofanya wanajificha na kuficha aibu ya timu zao kupata matokeo hasi back 2 backAlafu mashabiki hawa mandazi wa Chelsea wako humu tu ndan huku mtaan mashabiki wa Chelsea kwanza hata wanashangaa tumefikaje top 4 yaan hawaaminiSasa humu unakutana na mashabiki wavimba macho tukipoteza tu mechi moja wanahamishia lawama kwa Abraham, sijui lampard siyo na bra bra kibao
Conte kocha mzuri ila hajui kuwamanage wachezaji, Lampard kampita Conte mbali sana kwenye hilo. Kwanza Conte mzoefu na Lampard mgeni na kashapata matokeo na kuwazidi wazoefu wengi tuConte, allegri, na wengine wa calibre hiyo
Itazame Inter milan ya kabla ya conte halafu itazame ya sasa yenye conte
Kuna kocha akifika tu, timu inaanza kuogopwa.
Manyumbu mumefuatana kama wale nyumbu wa SerengetiKwani nyumbu nae yumo????
Hebu msimamo uwekwe haraka hapa???
Hivi kwanini tunaanza kucheza na Soton kabla ya Arsenal. Wakati hiyo match ya Soton ni second round halafu arsenal ni first round?NEXT
- Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY
- West Ham 30/11 - HOME
- Aston Villa 4/12 - HOME
- Everton 7/12 - AWAY
- Lile - UEFA 10/12 - HOME
- Bournemouth 14/12 - HOME
- Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
- Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
- Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
Game ya Valencia tarehe ngapi? Naona umeandika 2/11
Hawa mamluki ni kama panya, akija paka wakisikia harufu tu watafyata na kupotea. We subiri turudi kwenye winning way uone kama atakuwepo mtu hapa
nadhani alitaka kuandika 27/11
NEXT
- Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY
- West Ham 30/11 - HOME
- Aston Villa 4/12 - HOME
- Everton 7/12 - AWAY
- Lile - UEFA 10/12 - HOME
- Bournemouth 14/12 - HOME
- Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
- Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
- Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
27/11 ni typing errorGame ya Valencia tarehe ngapi? Naona umeandika 2/11
Wewe hujaelewa kitu, kuna mashabiki humu wanajifanya Chelsea huku wakiishambulia timu na mashabiki halali wa ChelseaHivi Mkuu unaonaje wewe (Chelsea), Malafyale (Liverpool) na Daud1990 (Manure) mukaanzisha Jukwaa lenu watu Watatu tu Mukapost wenyewe na kujichangia wenyewe bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote?
Coz nyinyi watatu kila anayetofautiaba mawazo na nyinyi ni Fake au Mamluki.
Wewe unaita watu Mamluki kwasababu wametofautiana mawazo na wewe
Malafyale anatwita sisi Fake kwasababu tumetofautiana naye mawazo dhidi ya Henderson
Daud1990 anawita wenzake wa Manchester ni Mamluki wa Mourinho kwasababu wametofautiana naye mawazo dhidi ya OGS.
Na wewe unawaitaje hao uliotofautiana nao, plastic fans, ukiunda huo uzi na wewe lazima uwepoHivi Mkuu unaonaje wewe (Chelsea), Malafyale (Liverpool) na Daud1990 (Manure) mukaanzisha Jukwaa lenu watu Watatu tu Mukapost wenyewe na kujichangia wenyewe bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote?
Coz nyinyi watatu kila anayetofautiaba mawazo na nyinyi ni Fake au Mamluki.
Wewe unaita watu Mamluki kwasababu wametofautiana mawazo na wewe
Malafyale anatwita sisi Fake kwasababu tumetofautiana naye mawazo dhidi ya Henderson
Daud1990 anawita wenzake wa Manchester ni Mamluki wa Mourinho kwasababu wametofautiana naye mawazo dhidi ya OGS.
Kwenye hizi mechi lazima Pellegrini, Silva na Unai wafukuzwe kaziNEXT
- Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
- West Ham 30/11 - HOME
- Aston Villa 4/12 - HOME
- Everton 7/12 - AWAY
- Lile - UEFA 10/12 - HOME
- Bournemouth 14/12 - HOME
- Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
- Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
- Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
YesKweli kabisa Mkuu
Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Unadhani Man u na Arsenal wanafurahi mienendo mibovu ya timu zao? Ili hali wamefanya usajili?
Chelsea tupo vizuri sana, naungana na wadau waliotangulia kwamba kwa kupigwa ban ya usajili, kuondokewa na hazard hatukutegemea mpaka sasa tungekuwa top 4.
Mashabiki tunamshukuru sana Lampard ni bonge la kocha yote aliyotufanyia mpaka sasa tuna deni kubwa sana kwake la kuzidi kumpa support.
Hatuhitaji kocha mwingine kwa sasa, Lampard ndio mkombozi wetu kwa sasa, anazidi kujenga na kuimarisha kikosi. Ban ya usajili ikiisha atasajili kimkakati kikosi kitakuwa moto zaidi.
Ni matokeo gani mazuri zaidi ya haya ya sasa tunataka?
Tuweni na shukrani.
Na wewe unawaitaje hao uliotofautiana nao, plastic fans, ukiunda huo uzi na wewe lazima uwepo
Hahaha asee mbona nipo ..Una utani na Ollachuga Oc na kugenge chake
Tulia mdogo wangu sisi tunakuja taratibu ..Jasusi kenu ollachuga lipo wapi
Bingwa la kuja majukwaa mengine kusnitch
Hahahaha tumesave mkuu[emoji23][emoji23]Wale wapaki basi tutawapapasa vizuri tu leo..save my comment
Kweli buraza..Conte kocha mzuri ila hajui kuwamanage wachezaji, Lampard kampita Conte mbali sana kwenye hilo. Kwanza Conte mzoefu na Lampard mgeni na kashapata matokeo na kuwazidi wazoefu wengi tu
Inter inafanya vizuri kwa sababu imesajili wachezaji wazuri wapya
Mfano mbele mchezaji aliyesajiliwa 2018 ni Lautaro Martínez, wengine wote (no 8-11) walisajiliwa 2019
- Diego Godín CB
- Lorenzo Pirola CB
- Cristiano Biraghi LB / LWB
- Stefano Sensi DM/ CM
- Valentino Lazaro RM / RWB / RB / RW
- Nicolò Barella CM
- Lucien Agoumé CM / AM
- Alexis Sánchez ST / SS / LW / RW / AM
- Romelu Lukaku ST
- Matteo Politano RW / LW / SS
- Sebastiano Esposito ST
So unapochangia technical things ufanye research kwanza
Mfano mwingine mwangalie mfungaji wao mkuu Lukaku ambaye pia ni wa pili kwa Serie A
Mwangalie beki kama Diego Godin kisiki cha Atletico Madrid na bado anaendeleza ubora wake Inter
Waangalie akina Nicolo Barela na wengineo walivyo leta transformation inter
Kwa hiyo ubora wa Inter sio kocha tu!!!!!!!!!!!!!