BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,987
Wanataka wafanye ndo fimbo ya kukuchapia badala wadondoshe hojaIvan Perisic
Hapo je? Kukosea kupo
Wanataka wafanye ndo fimbo ya kukuchapia badala wadondoshe hojaIvan Perisic
Hapo je? Kukosea kupo
Nyie tutawchapa kwa takwimu, soon ni Luiz vs Tomori, then Azpillicueta vs Chambers alafu Sokratis vs Zouma then Pepe vs Willian ambaye amecheza mechi pungufu ya Pepe msimu huu,Wanataka wafanye ndo fimbo ya kukuchapia badala wadondoshe hoja
Mkuu wengine vyuo hatukufanikiwa kufika.
Yote kwa yote acheni tabia za kujibinafsisha nyuzi , maan inakuwa inatia ukakasi kua hata mpira mnashabikia vipi au mnaangalia vip huko mlipo na je mnaishi vp na wanasoka wengine kama tu mtu ukichallenjiwa kidogo kuhusu timu yako bas unajikuta unapaniki na kujifanya unamjaji aliekuchallenji as if unamjua sana (uzi huu ndo mnatabia hizo) . Kunahatua unatakiwa uwe mpenzi wa mpira na usiishie kuwa shabiki tu mkuu.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Duh mkuu unakaba yan lazma utafute kosa
Sawa ila umeelewa
Umeona eeeh,hoja ya msingi wanaikimbia wanakomaa na kukosea jina la mchezajiWanataka wafanye ndo fimbo ya kukuchapia badala wadondoshe hoja
Na imagine ile mitaa ambayo jamaa anaongea ovyo hivi ni mitaa mingapi kajipiga ban.
Baada ya ban na Hazard kuondoka na Sarri kutimua walianza hivi
Afadhali ya King Ngwaba ameanza kuonyesha heshima kwa Chelsea kwa kupotea kwenye uzi
- Chelsea itashuka daraja
- Mara Chelsea namba 10-15
- Huko mbeleni vipigo vikikolea utawasikia Chelsea itaishia Europa tu
Ndio kukosea kupo ila sio perisic kwa pulisic yan majn yako tofaut kbxIvan Perisic
Hapo je? Kukosea kupo
Mashabiki wengi wa Asernal ni walevi wapombe kali wasikuumize kichwa.Ndo hapo, tatizo Arsenal imejaa vichwa bure. Hawawezi kujenga hoja kwa sababu hawana uwezo huo. Wanachojua hasa Aroon na Wily ni kukopi na kupase maoni ya watu wa twitter. Hawezi kutafuta takwimu hata za wachezaji wao. Badala ya kubishana kwa takwimu wanabishana kwa quotes za watu
Acha kukurupukia watu aliekwambia me arsenal nani?Nyie tutawchapa kwa takwimu, soon ni Luiz vs Tomori, then Azpillicueta vs Chambers alafu Sokratis vs Zouma then Pepe vs Willian ambaye amecheza mechi pungufu ya Pepe msimu huu,
Aiseeh kweli nimeamini zile habari zinazohusu washangiliaji wa chelseaNdio kukosea kupo ila sio perisic kwa pulisic yan majn yako tofaut kbx
Lete hizo takwimu sio unaishia kubwabwaja tu hapa......tena uanza na lile pazia lako pale goliniNyie tutawchapa kwa takwimu, soon ni Luiz vs Tomori, then Azpillicueta vs Chambers alafu Sokratis vs Zouma then Pepe vs Willian ambaye amecheza mechi pungufu ya Pepe msimu huu,
Na wana msongo wa mawazo au pressure kwa sababu ya timu kutochukua kombe miaka 15Mashabiki wengi wa Asernal ni walevi wapombe kali wasikuumize kichwa.
Ww 2uache 2kiw washangaliaj au mashabiki ww unatesek na nnAiseeh kweli nimeamini zile habari zinazohusu washangiliaji wa chelsea
Mashabiki wengi wa chelsea ni vitoto vya mama na vishoga....
Sasa kitimu cha 2005, inamaana moja kwa moja washabik wake weng(asilimia kubwa)bado wanasubiri chai na wadogo zao mezani (msosi wa shikamoo) na ndio maan mawazo yao yameganda.Na Si ajabu hako kanakosema washabik wa liver na arsenal ni walevi ukute baba yake ni mlevi wa gongo pure ile inayotengenezwa kwa njia ya mvuke kutoka maliwatoMashabiki wengi wa chelsea ni vitoto vya mama na vishoga....
Na imagine ile mitaa ambayo jamaa anaongea ovyo hivi ni mitaa mingapi kajipiga ban.
Baada ya ban na Hazard kuondoka na Sarri kutimua walianza hivi
Afadhali ya King Ngwaba ameanza kuonyesha heshima kwa Chelsea kwa kupotea kwenye uzi
- Chelsea itashuka daraja
- Mara Chelsea namba 10-15
- Huko mbeleni vipigo vikikolea utawasikia Chelsea itaishia Europa tu
Sasa kitimu cha 2005, inamaana moja kwa moja washabik wake weng(asilimia kubwa)bado wanasubiri chai na wadogo zao mezani (msosi wa shikamoo) na ndio maan mawazo yao yameganda.Na Si ajabu hako kanakosema washabik wa liver na arsenal ni walevi ukute baba yake ni mlevi wa gongo pure ile inayotengenezwa kwa njia ya mvuke kutoka maliwato