Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona vistats vyenu vimeanza tena kama kile kipindi sarri na joginho wametua hapo darajani venye mlikuwa mnasumbua lkn mwisho wa siku mkaanza kulia lia humu . Sasa nawakumbusha tu hata yule masai kipind kapewa timu nyumbu waliishi maisha mnayoyaishi nyinyi kwa sasa hivyo bas msijisahau sana vijana wa chelwowo

Kama mlivyoteseka na kloopu. Sisi hatuna hiyo. Kila kocha anaekuja chelsea hata kama ni mbovu kiasi gani, lakini lazima abebe kombe. Sarri alikuja bila kubeba kombe lolote toka aanze ukandarasi ya ukocha. Lakini akatupa Ueropa. Lamp naamini pia atatupa kitu.
 
Ukiwa mwanaume kuwa na msimamo mwanzon ulisema unatupa mechi kumi tutakuwa nje ya kumi Bora, pia uksema wolves nae atatufunga tukashinda , yan most of time tabiri zako zinafeli still hujifunzi kuwa na akiba ya maneno ,mechi ya final ueropa ulipiga kelele kujisifia then ukapigwa ,unaendeshwa na hisia thus y all the time prediction zako zinafeli
Huyo si mwanaume Bali ni mtoto. Mtoto hawezi kusimamia kauli zake na isitoshe ni rahisi kusahau alichosema mwanzoni
 
Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?

Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo

Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Unajua kama Chelsea imetumia nguvu nyingi kumzuia kwenda Bayern?

Anajua kuwa alisha-submit transfer request ili aruhusiwe kuondoka?

Je nini kilitaka kimuondoe Chelsea? Nini kilikuwa kinamsukuma kwenda Bayern?

Ukweli ni kwamba Lampard ndo factor kubwa ya Odoi kubaki ila alishaamua kuondoka kwenda zake Bayern. Lampard alizungumza naye kama mtu na mlezi wake anayemheshimu sana.
Kwa hiyo ni vyema ukafuta hiyo notion uliyonayo.
 
Leta stats zao Bundesliga tuzilinganishe na Odoi aliyecheza mechi mbili na kati ya hizo mbili moja ametokea benchi. Mechi moja na Tottenham inayopitia crisis isikupumbaze
Mkuu relax kwanza alafu uandike upya huo ni mwaka gani ambao Hugo Lloris atarudi?

Then ,soma tu vizuri nilichoandika kila kitu nimeweka kwa kurudia tu maana najua kuwa unaelewa polepole,

Pale bayern kuna Comman Kingslay na Serge Gnabry wamoto kuliko moto unaoujua wewe,then bench kuna Pulisic ,Muller n.k

Odoi hapati namba kwa hao vijana maana nao damu zinachemka kwelikweli,
 
Kuna ubishi mwingi kati ya wachezaji wa Chelsea na Arsenal ni wapi wachezaji bora?

Nitawaletea takwimu kwa kila nafasi alafu tutaona wenyewe ni nani bora katika kila nafasi.
 
Marcos Alonso vs Sead Kolasinac katika ligi kuu Uingereza(EPL)

Alonso amecheza mechi 5; 3 akianza, 2 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 347.

Kolasinac amecheza mechi 5; 4 akianza, 1 akitokea benchi, na jumla ya dk alizocheza ni 469 yaani dk 122 zaidi ya dk alizocheza Alonso EPL.

Alonso ana assists 2;
Kolasinac ana assists 1;

Shots per game:
Alonso 0.6
Kolasinac 0.2

Pass success percentage per game:
Alonso 82.3%
Kolasinac 86.8%

Aerials won per game:
Alonso 3.2
Kolasinac 0.8

Tackles per game:
Alonso 2
Kolasinac 1.5

Interceptions per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7

Clearance per game:
Alonso 2.2
Kolasinac 1.5

Key passes per game:
Alonso 1.4
Kolasinac 0.8

Passes per game:
Alonso 43
Kolasinac 36.5

Dribles per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.5

Crosses per game:
Alonso 1
Kolasinac 0.3

Long balls per game:
Alonso 1.2
Kolasinac 0.7

Hapo wadau takwimu zinajieleza yupi bora kati ya Kolasinac na Alonso. Next ni Luiz vs Tomori
 
Na hapo Alonso sio first choice, je za Emerson ungeziweka hapo zingekuwaje
 
Na hapo Alonso sio first choice, je za Emerson ungeziweka hapo zingekuwaje
Ndo hapo, tatizo Arsenal imejaa vichwa bure. Hawawezi kujenga hoja kwa sababu hawana uwezo huo. Wanachojua hasa Aroon na Wily ni kukopi na kupase maoni ya watu wa twitter. Hawezi kutafuta takwimu hata za wachezaji wao. Badala ya kubishana kwa takwimu wanabishana kwa quotes za watu
 
kichwa kigumu timu kufungwa haimaanishi ni dhaifu ni game plan imekataa, utatukanwa humu ndani utasingizia Ohh hamtaki challenge, narudia tena kuwa muelewa
Hyo mimi nilishamkataa asiwe mwanafunzi wangu, ni mgumu kuelewa
 
Mkuu wengine vyuo hatukufanikiwa kufika.

Yote kwa yote acheni tabia za kujibinafsisha nyuzi , maan inakuwa inatia ukakasi kua hata mpira mnashabikia vipi au mnaangalia vip huko mlipo na je mnaishi vp na wanasoka wengine kama tu mtu ukichallenjiwa kidogo kuhusu timu yako bas unajikuta unapaniki na kujifanya unamjaji aliekuchallenji as if unamjua sana (uzi huu ndo mnatabia hizo) . Kunahatua unatakiwa uwe mpenzi wa mpira na usiishie kuwa shabiki tu mkuu.
Aiseee nilishawahi sema nawaelewa sana mashabiki wa liverpool kwasababu hii ....umeongea point kali sana ....aiseeh hawachelewi kukudukua ktk uzi wao hawa
 
Mti wenye MATUNDA mazuri hurushiwa mawe. Perfomance bora kabisa ya Chelsea kwa sasa lazima turushiwe mawe na wapinzani wetu.

CALM DOWN wanachelsea wenzangu.

LAMPARD = Kocha Bora
Wachezaji wetu wote ni BORA.

MWISHO WA MSIMU MAKOMBE MAPYA TUTAYAWEKA KABATINI.
Mfumo wa Lampard unamfanya kila mchezaji kuwa bora. Wote wakishajua na kushika falsafa yake, nawaambia hakuna tena cha Liverpool na Klopp wake wala Man city na Pep wake. Tusubiri tu msimu wa pili au wa tatu
 
Nyinyi ni wagumu sana kuelewa aiseeh
Unajua kama Chelsea imetumia nguvu nyingi kumzuia kwenda Bayern?

Anajua kuwa alisha-submit transfer request ili aruhusiwe kuondoka?

Je nini kilitaka kimuondoe Chelsea? Nini kilikuwa kinamsukuma kwenda Bayern?

Ukweli ni kwamba Lampard ndo factor kubwa ya Odoi kubaki ila alishaamua kuondoka kwenda zake Bayern. Lampard alizungumza naye kama mtu na mlezi wake anayemheshimu sana.
Kwa hiyo ni vyema ukafuta hiyo notion uliyonayo.
 
Mkuu relax kwanza alafu uandike upya huo ni mwaka gani ambao Hugo Lloris atarudi?

Then ,soma tu vizuri nilichoandika kila kitu nimeweka kwa kurudia tu maana najua kuwa unaelewa polepole,

Pale bayern kuna Comman Kingslay na Serge Gnabry wamoto kuliko moto unaoujua wewe,then bench kuna Pulisic ,Muller n.k

Odoi hapati namba kwa hao vijana maana nao damu zinachemka kwelikweli,
Typing error ila umeelewa maana hii haitaji integration au calculus
 
Tumekuzoea mzee wa kujipiga ban. 🤪🤪🤪
Na imagine ile mitaa ambayo jamaa anaongea ovyo hivi ni mitaa mingapi kajipiga ban.
Baada ya ban na Hazard kuondoka na Sarri kutimua walianza hivi
  1. Chelsea itashuka daraja
  2. Mara Chelsea namba 10-15
  3. Huko mbeleni vipigo vikikolea utawasikia Chelsea itaishia Europa tu
Afadhali ya King Ngwaba ameanza kuonyesha heshima kwa Chelsea kwa kupotea kwenye uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom