Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nilichokiona na kama wataalamu wachambuzi wengine wanavyosema, high pressing ya Lampard ndiyo yenye shida, jana walicheza very ordinary game na wachezaji walimudu mpira tofauti na zile mechi zenye high pressing has ile ya Man U na Leister city, vijana wanapwaya na kuchoka kipindi cha pili. Jana ilikuwa tofauti, kipindi cha pili vijana waligain energy badala ya kupungua. Lampard awazoeshe high pressing taratibu sio kwa haraka, wawe wanafanya high pressing ya kushtukiza halafu wanatulia kuhifadhi nguvu.
Reece, RLC, Kante, Rudiger wakirudi hawa hawatakuwa na namba, Azpi, Kova, Barkley**, Zouma
Barkley itabidi apambane sana kwa sababu ameanza kuwa on and off
Believe me Kova atatumika sana msimu. Kumbuka pia tuna UEFA, FA, Carling nk.
 
Kwa pressing ya Lampard inabidi mipira inyanganywe mbele siyo kusubiri kunyanganya nyuma with a very high pressure
Tatizo la Kova sio mzuri kwenye defensive ni kama Luiz, mzito ila mbele ana speed na anajua kuwachezesha wengine. Ningetamani sana apewe attacking roles, Kante ndio apewe kazi ya kuwalinda mabeki
 
Mimi nawaamini vijana woote ambao Lampard kawachagua kwenye first team kuanzia
Tomori
Pulisic,
Mason Mount
Tammy
na Reece James akija baadaye. Wakizoea ligi watakuwa hatari sana
Huyu Mount na Tammy naona Lampard amewapa majukumu makubwa kuanzia kufiga free kicks, penalties nk... Bila shaka ana expectations kubwa kutoka kwao.
 
Mbona jukwaa limepoa, baada ya jana majirani kunyolewa sasa mtaani ni kutulivu na weekend inaenda vizuri bila ya makelele
Naomba wiki ijayo iwe hivi hivi
 
nashindwa kuchangia hili jukwaa langu maana huwa kuna mamluki wa asernal na man u wanapiga yowe sana humu bila point at least wmepata ushaidi kuwa sisi na wao nani ni mbovu zaidi na jukwaa Limekuw na adabu
 
Mimi nilichokiona na kama wataalamu wachambuzi wengine wanavyosema, high pressing ya Lampard ndiyo yenye shida, jana walicheza very ordinary game na wachezaji walimudu mpira tofauti na zile mechi zenye high pressing has ile ya Man U na Leister city, vijana wanapwaya na kuchoka kipindi cha pili. Jana ilikuwa tofauti, kipindi cha pili vijana waligain energy badala ya kupungua. Lampard awazoeshe high pressing taratibu sio kwa haraka, wawe wanafanya high pressing ya kushtukiza halafu wanatulia kuhifadhi nguvu.
Reece, RLC, Kante, Rudiger wakirudi hawa hawatakuwa na namba, Azpi, Kova, Barkley**, Zouma
Barkley itabidi apambane sana kwa sababu ameanza kuwa on and off
We jamaa ujui tu kovacic ni jembe ila anachokosea lampard kumtaka afanye kama kante kovacic ana kaba lakini sio kwa kiwango km Cha kante jamaa ana offer vitu vingi anajua kuhold mpira kuisaidia team kushambulia na kutuliza mashambulizi ya opponents by pressing na hii ndio iliyofanya kipindi cha pili Chelsea iwe tofauti na hii ndio reason ya kuzidiwa na Leicester kipindi cha pili cos tulikosa mtu Kama kovacic wakutuliza mashambulizi kwa ability yake ya kuhold mpira lampard amekuja kumwingiza katika kipindi kibaya ambacho team ilikuwa imechoka kwangu me naona midfielder wanaostahili kuanza ni kovacic,kante na jorginho katikati ukipanga hiv team inakuwa balance na inakuwa tishio ndo maana tuliisumbua Sana Liverpool.
 
Umeongea vzuri lkn kwenye midfields usimsahau Mount, huyu si mtu wa mchezo. Kwa wakongwe namuona Pedro aki-shine msimu huu pia

Kati ya watu wako underrated Chelsea ni Joginho na Kovacic

Mount tayari yuko kushoto na habanduki hapo, Jorginho katikati na kante kulia, Kova, RLC, Barkley benchi ni yao tu mpaka majeruhi yatokee au UCL ikianza ndio watakuwa wana-alternate. Kazi ipo kwa kocha
 
Umeongea vzuri lkn kwenye midfields usimsahau Mount, huyu si mtu wa mchezo. Kwa wakongwe namuona Pedro aki-shine msimu huu pia
Akianza na trio midfielders ya kovacic,kante na jorginho mount atakuwa winger atajana kacheza Kama winger
 
We jamaa ujui tu kovacic ni jembe ila anachokosea lampard kumtaka afanye kama kante kovacic ana kaba lakini sio kwa kiwango km Cha kante jamaa ana offer vitu vingi anajua kuhold mpira kuisaidia team kushambulia na kutuliza mashambulizi ya opponents by pressing na hii ndio iliyofanya kipindi cha pili Chelsea iwe tofauti na hii ndio reason ya kuzidiwa na Leicester kipindi cha pili cos tulikosa mtu Kama kovacic wakutuliza mashambulizi kwa ability yake ya kuhold mpira lampard amekuja kumwingiza katika kipindi kibaya ambacho team ilikuwa imechoka kwangu me naona midfielder wanaostahili kuanza ni kovacic,kante na jorginho katikati ukipanga hiv team inakuwa balance na inakuwa tishio ndo maana tuliisumbua Sana Liverpool.
Innocent najua na namfuatilia sana Kova kuliko wewe unavyodhani. Ukitaka kujua kuwa KOva na uziri wake atakula benchi tu, ebu jaribu kuwapanga, hapo wanatakiwa tu 3
  1. Kante
  2. Jorginho
  3. Mount
  4. Kovacic
  5. Barkley
  6. RLC anakuja
 
Christ anacheza kama Luiz hana kasi anakaba kwa macho ,kinachomtofautisha na Luiz hajui kupiga pass ,kiufupi ni matatizo tu
Christiansen anakuwa, Luiz anaishia, hiyo ndio tofauti
 
We jamaa ujui tu kovacic ni jembe ila anachokosea lampard kumtaka afanye kama kante kovacic ana kaba lakini sio kwa kiwango km Cha kante jamaa ana offer vitu vingi anajua kuhold mpira kuisaidia team kushambulia na kutuliza mashambulizi ya opponents by pressing na hii ndio iliyofanya kipindi cha pili Chelsea iwe tofauti na hii ndio reason ya kuzidiwa na Leicester kipindi cha pili cos tulikosa mtu Kama kovacic wakutuliza mashambulizi kwa ability yake ya kuhold mpira lampard amekuja kumwingiza katika kipindi kibaya ambacho team ilikuwa imechoka kwangu me naona midfielder wanaostahili kuanza ni kovacic,kante na jorginho katikati ukipanga hiv team inakuwa balance na inakuwa tishio ndo maana tuliisumbua Sana Liverpool.
Mkuu hawawezi kuanza wote hao kwa sababu tayari Mount na Jorginho wameshajihakikishia namba kikosi cha kwanza. Kante akirudi ni lazima Kova aanzie benchi asubiri baadhi ya mechi ambazo hazihitaji kukaba sana au zisizo na presha. Ila kwa hizi mechi PL nyingi naona Kova lazima ataanza benchi kama RLC na Kante watakua wazima.
 
Kati ya watu wako underrated Chelsea ni Joginho na Kovacic
Watu walimua underrate Jorginho kipinfi kile alikua hajazoea ligi halafu na blunder alizofanya mechi ya Tot. Ila ni mmoja kati ya holding midfield wazuri sana kwa kipindi hiki.
 
Innocent najua na namfuatilia sana Kova kuliko wewe unavyodhani. Ukitaka kujua kuwa KOva na uziri wake atakula benchi tu, ebu jaribu kuwapanga, hapo wanatakiwa tu 3
  1. Kante
  2. Jorginho
  3. Mount
  4. Kovacic
  5. Barkley
  6. RLC anakuja
Hapo lazima itakua Kante, Jorginho na Mount. Kova anaanza kwa sababu Kante anaumwa. Simple
 
Watu walimua underrate Jorginho kipinfi kile alikua hajazoea ligi halafu na blunder alizofanya mechi ya Tot. Ila ni mmoja kati ya holding midfield wazuri sana kwa kipindi hiki.
Hata sasa namuona Jo akiwa on and off form, tofauti na Sarri, sidhani kama Lampard atamvumilia kwa hiyo inabidi tu akaze buti. Ofcourse najua kila mchezaji ana good na bad form, ila kwa Jo ile nafasi akidrop form tumekwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom