Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nyie humu vipigo havitakauka kamwe msimu huuNgoja Liverpool awatekenye ndio mtaanza kupiteana hapa.
Nyie humu vipigo havitakauka kamwe msimu huuNgoja Liverpool awatekenye ndio mtaanza kupiteana hapa.
Sawa mtabiri TambitambiNyie humu vipigo havitakauka kamwe msimu huu
hapo kwa Batshuay bora ungemuweka Giroud, naona Lampard kaamua kumfungia viooPossible Chelsea XI (4-2-3-1) against Norwich City on Sat 24, Aug 2019
- Kepa;
- Azpilicueta,
- Christensen/Rudiger
- Zouma
- Emerson;
- Kante,
- Jorginho/Kovacic
- Pedro/Willian,
- Mount,
- Pulisic;
- Batshuayi
#UNAAMBIWASawa mtabiri Tambitambi

Sis wa 19,000 naona tumekaziwa na Kuna channel yangu pendwa ya mieleka no.128 wameiondoaKwa wale mliokuwa mnapata shida ya kuangalia EPL kupitia SS3HD sasa mtaweza kwa sababu DSTV wamelegeza vyuma, bei ya kifurushi cha Compact kutoka 69,000 hadi 44,000 kwa mwezi. Chaneli Zaidi ya 90 ikiwepo SupperSport3HD channel no. 203
Bei hii itaanza kutumika Tarehe 1 Septemba 2019
Habati za C&P siyo nzuri ndugu zinashusha credibility yako hasa habari kama hizi za uongo. Kwakuwa sina nia ya kukuharibia naona ukafanye uchunguzi tena ndio urudi hapa.#UNAAMBIWA
Willian hawajawah kufunga magol 10 ndani ya msimu mmoja ktk league mbalimbali alizocheza..amecheza Russia, Brazil, England etc...
Magol mengi aliywahi kufunga ndani ya msimu mmoja ni 8 tu.![]()
Hapa pia tutakua tunavizia mwezi wenye mechi nzuri nzuri ndio tunalipia.Kwa wale mliokuwa mnapata shida ya kuangalia EPL kupitia SS3HD sasa mtaweza kwa sababu DSTV wamelegeza vyuma, bei ya kifurushi cha Compact kutoka 69,000 hadi 44,000 kwa mwezi. Chaneli Zaidi ya 90 ikiwepo SupperSport3HD channel no. 203
Bei hii itaanza kutumika Tarehe 1 Septemba 2019
Na chakushangaza anaitwa moja ya team bora kabisa Brazil ambayo technical director wenu EDU alisikilizia kwenye bomba tu,ni sawa na kumbeza Kepa kipa wa Spain wakati Leno mimi binafsi sijawahi kumuona kwenye milingoti mitatu ya German kweli mawazo TUNATOFAUTIANA hata darasani tunatofautiana na mwamuzi ni matokeo .Kiufupi WILLIAN kashinda trophies ngapi na vigoli vyake?na AUBA kashinda trophies ngapi na magoli yake ? Ukijibu facts hizi wewe great thinker#UNAAMBIWA
Willian hawajawah kufunga magol 10 ndani ya msimu mmoja ktk league mbalimbali alizocheza..amecheza Russia, Brazil, England etc...
Magol mengi aliywahi kufunga ndani ya msimu mmoja ni 8 tu.![]()
Ccm wamechota akili zako zote, waambie wakurudishie akil kwanzaNa chakushangaza anaitwa moja ya team bora kabisa Brazil ambayo technical director wenu EDU alisikilizia kwenye bomba tu,ni sawa na kumbeza Kepa kipa wa Spain wakati Leno mimi binafsi sijawahi kumuona kwenye milingoti mitatu ya German kweli mawazo TUNATOFAUTIANA hata darasani tunatofautiana na mwamuzi ni matokeo .Kiufupi WILLIAN kashinda trophies ngapi na vigoli vyake?na AUBA kashinda trophies ngapi na magoli yake ? Ukijibu facts hizi wewe great thinker
Hajaumia sana kwa hiyo kucheza leo ni 50/50Habati za C&P siyo nzuri ndugu zinashusha credibility yako hasa habari kama hizi za uongo. Kwakuwa sina nia ya kukuharibia naona ukafanye uchunguzi tena ndio urudi hapa.
BTW, nadhani Willian toka aje Chelsea kaisaidia kubeba makombe makombe mengi kuliko Arsenal.
Possible Chelsea XI (4-2-3-1) against Norwich City on Sat 24, Aug 2019: time: 14:30hrs
Lampard on Batshuayi
- Kepa;
- Azpilicueta
- Christensen
- Zouma
- Emerson
- Kante 50% Kovacic 50%
- Jorginho
- Pedro-Willian
- Mount
- Pulisic-Willian
- Batshuayi - Giroud
“I thought it was a good performance, in terms of Michy he got the fitness work he needed out of the game. He scored two good goals, two very good finishes.
“I thought he worked hard and that's exactly what the game was there to do for him. Good for him. As I've said here and I've said on the training pitch, we need Michy, we need the competition up front with the three strikers we have.”
As predicted, ndivyo kikosi kimetokaKwangu lineup naiona hivi:-
Kepa
Emerson
Zouma
Christensen/Rudiger
Azipplicueta
Joginho
Kante
Mount
Pulisic
Pedro
Tammy.
Tammy anawajua vzr Norwich, Emerson, Mount, Pedro,Christensen, walifanya vzur sana mech na Leicester. Kante alikuwa na jeraha so 50/50, Rudiger sina uhakika kama yuko fiti so naye ni 50/50, Batshuaiy kafunga magoli mawili juzi lkn bado anamadhaifu with the ball so naye ni 50/50