Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Tatizo Chelsea fans hawataki kumbiwa ukweliAisee huna hata faraja kwa mgonjwa?
#Mwakawatabu
Hapana mimi sijamaanisha kwamba Abraham hafai,nilikuwa najaribu kuangalia mahitaji ya timu wakati liecester wakitukishambulia.. ilikuwa haina haja ya kumuingiza straika wakati timu imepoteana katikati,huyu kovacic alitakiwa kuanza au lampard angemweka punde tu kipindi cha pili kinapoanza...Hivi wale waliokua wakitusifia abraham wapo wapi? mpaka clip za youtube walikua wakituekea
unasema?Tuko vizuri ni bora kuanza kwa kusuasua na kumaliza vizuri,mbio hizi ni marathon never give up
kati ya hizo kumi hii ni ya tatu au ya piliTumefungwa wadau na hasa kipindi cha pili tumezidiwa na sababu hasa ni;
1. Wachezaji wametumia dk 120 kucheza dhidi ya timu nzuri katikati ya wiki
2. Leicester ni timu nzuri na inacheza vizuri hasa katikati
3. Leicester wana kocha mzoefu anayejua kucheza mechi kubwa.
Mimi kwangu bado naona huu ni mwanzo kujua kama timu ni nzuri mbaya. Nimejipa mechi 10 kufanya evaluation.
huko alipo anafanya makubwa gani kushinda hawa waliopo?2 points dropped. Actually hata hiyo moja ni bahati maana zile counter attacks za Leicester zilikuwa za kiwango cha Stigler Gorge. Nadhani kuna haja ya kuhakikisha Batshuayi anabaki tu. Tammy na Giroud hawatupeleki popote
Wadau tusiwe wabishi. Kante hachezi kabisa mbele ya defenders. Bado anatumika kama alivyokuwa anatumika kipindi cha Sarri. Naomba Leo mu-analyse vzur uone
Hapana mimi sijamaanisha kwamba Abraham hafai,nilikuwa najaribu kuangalia mahitaji ya timu wakati liecester wakitukishambulia.. ilikuwa haina haja ya kumuingiza straika wakati timu imepoteana katikati,huyu kovacic alitakiwa kuanza au lampard angemweka punde tu kipindi cha pili kinapoanza...
Uzuri lampard kakiri kabisa kwamba anatatizwa na kupanga kikosi cha kwanza
The blues till I die
Uzuri siku hizi ukitoa hata draw unachekwa
Kamati imekuwa ya ajabuu kweli
Alivyosema innocent ni sawa
Kante japokuwa bado anacheza deep role lakini wamepewa uhuru wa kushambulia na kudefense tofauti na wakati wa sarri
Tofauti yake chini ya lampard kante anakuwa free kucheza maeneo yote na jorginho na kovacic wanakuwa flexible if jorginho na kovacic wakipanda kante arudi chini na ikitokekea kovacic na kante wakipanda jorginho arudi chini na pia kante na jorginho wakipanda kovacic anarudi chini kiufupi Kuna kuwa hakuna permanent no 6 au 8 ndo maana Mashabiki hawaongei.I think umenielewa.
Hao waliopo wanafanya makubwa yepi?huko alipo anafanya makubwa gani kushinda hawa waliopo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi Chelsea tunaamini kuwa Abraham ndiye mrithi sahihi wa Jezi namba 9 na tuna uhakika atafunga magoli 30+ msimu huu.
Mpaka sasa ameshafikisha magoli 17 kwenye mazoezi.
Lazima nijipige ban kama OllachugaSiku Arsenal atakayoteleza nakushauri ujipige Ban ya Mwezi mmoja venhinevyo Chelsea watakuchuna Ngozi kwani mpaka walioko vijijini watakuja mjini kufata Internet ili wakutafute tu.