Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,811
- 40,567
Hawa marefa ilifaa wakakune nazi. Ndio kazi wanayoiweza. Wako slow sana.
Nataka tuingie mpaka penalty uone Kepa ni naniChelsea leo mmecheza vyema sana
Lkn Liverpool is too much kwenu
Mtapigwa tu
Mpaka sasa hao waliokuwa wanaibeza Chelsea na Lampard wameiona
Mpaka sasa hao waliokuwa wanaibeza Chelsea na Lampard wameiona
Kiukweli hata Kepa anastahili pongezi though bado anastahili ulunzi imara. Angekua kipa wa Arsenal keshakula 4 kwa zile shots walizopiga Liver