Hahahaha macho kodoo anasubiri tupigwe[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu Jamaa nimekutana naye mitaa ya LiverpoolView attachment 1181652
Hii ndio tofauti ya Chelsea na arsenal na hapo bado rudiger yupo injury,odoi,lotfus cheek pamoja na willian.Naona hii team lampard atafanya makubwa sana
Yaani lile goli la pili la Mane Firmino aliotea ila yeye hakutaka reviewIla huyu refa mwanamke ni noma. Yeye hana time VAR.