Subiri uone wanaume wanapiga mpira hapa, sio vile vijukuu vyako kule Emirates.
On serious note, mwambieni Nutty anunue kabla hamjaadhirika mjini.
what the ****n is Alex doing?! He plays like Arsenal defender!!!!!!
Vipi mkuu mbona matusi tena kulikoni maana umeme umekatika kwetu namna gani? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Alex tumweka sokoni kama mnamtaka leteni ngawila, kama mnaweza kushindana na Juventus! He's better than all Arsenal defenders put together.
Mbona hueleweki khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee jamani tafuteni Mungiki Brother au Invisible huenda tukampoteza peas of ant amepata kigugumizi. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jamani kumetokea nini tena hakuna umeme kwetu khe khe khe khe khe peas of ant hataki kusema lolote ..... ...... ..... au mzee wa meerkat kafanya vitu vyake?
Alex tumemweka sokoni kama mnamtaka leteni ngawila, kama mnaweza kushindana na Juventus! He's better than all Arsenal defenders put together.
Unaongea nini?!
Mkuu peasant mbona jukwaa kimya halafu upo mwenyewe tu ................
Naona Long kapiga goli......................
Vijana wanacheza mpira mzuri ingawa chelsea wanamwitaji Drogbanaona jamaa wamebahatisha bao moja! lakini uwezekano wa kurudi upo
Kwa nini huyo bwana mdogo Vila Boas anamweka benchi David Luiz? Kweli ukocha kazi ngumu
Haya ngoja tuwasaidie..............Hahahaha, jamaa bado wako summer holiday!!
Ni macho yangu au naota????? Koz naona scoreboard inaonyesha 1-0..... Anyway Mpira dakika 90........na hapa ndo kwanza nimekuta game ni dk ya 30.... So watarudisha tu... Au vp Piss- ant.......
Aaaah ndo ligi imeanza hiyo pole sana kwa yaliyokukuta leo..................ngoja tuone utawala mpyaWacha udaku na wewe kwani chelsick wamesahau kutoa ngawira? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee