Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Piga porojo tu , baadae jion nitawarudia humuToka lini mtu akapigana kutoka juu kwenda chini? Unahitaji kofi la kichwa kurestore settings za kichwa.
Hiyo miaka 100 itawachukua nyie kuja kutufikia sisi. Hamuoni aibu nyie
Huu ndio muda mzuri wakupiga porojo maana baadae hutaonekana humu, ukirud wiki end kuna Leicester unabamizwa tenaWanaoangalia mechi moja ni Arsenal, hata Liverpool walikuwa hivyo wakaswitch plan
Sisi Chelsea tunaangalia malengo na kuswitch tacktics ili kufikia malengo ya angalau kikombe kimoja kila mwaka
Aresenal shamba la bibi, no plan, no tacktics, wanajiendea tu hata wakiwa na kikosi bora
Huu ndio muda wenu wakubwabwaja. Maana baadae baada ya kichapo mtajipiga ban
Ukiwa Available Hamiss77 anapoteaMpo vzr kwenye kuachia mabao manne tena leo
Piga porojo tu , baadae jion nitawarudia humu
Ngoja nikaweke jamvi Chelsea apigwe 3+
Nashukuru juzi mlinipa hela ,maana nilikwambia mtapigwa 3+
Sijawi na sitawahi kujipiga banKijana siyo wote tupo kama wewe. Wewe ulijipiga ban ya mwezi mzima umesahau? Leo unawasema wanaojipiga ban
Duh ww bado hangover za 4-0 zinakusumbuaUkiwa Available Hamiss77 anapotea
Hahaaaaa kwahiyo mm ndio napiga porojo tena? Umesahau juz hapa nakuhakikishia msimu huu huna timu, una kaza shingoSasa kati ya mimi na wewe nani anapiga porojo?
Twende taratibu
Kipa Kepa ,tunaijua kabisa aerial ball hawez, juzi na man u wamepiga mashuti 5, manne 4, goli
Twende beki una Teja mchomoa betri Zuma, na mkabia macho Christensen .
Kiungo mzuri unaye mmoja tu Kante ambaye Hospitali yameanza kuwa makao yake
Forward sasa bora Everton. Au Watford , una jirud na Abraham kinana
Kwa kikosi hiki tayari ww unatakiwa ugambanie nafas ya 10 ,ukileta mchezo nafas ya 15 unamaliza ,maana. . hata westaham ana kikosi kizuri kuliko nyie
Mkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?Wachezaji wafuatao wakiingia kikosi cha Arsenal wanacheza first eleven ya Arsenal.
1. Kepa
2. Emerson
3. Azipillicueta
4. Rudiger
5. Ngolo Kante
6. Joginho
Sasa wewe baki ukipanua domo hilo
HahahahahahahahahMkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?
Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .
Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
Kikosi cha Arsenal kiko forward huku kwingine ni mikateMkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?
Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .
Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
Mkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?
Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .
Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
Sio kila siku jumapili , usichokijua timu nying zilikuwa hazipand sana kwakuwa mlikuwa na hazard na ukuta mzur wa luiz, ndio maana mwanzo aliokotaokota cleansheet ,Huyu Kepa ndo alikuwa golini wakati nakupiga vinne vya heshima pale Baku. Hivyo vinne ndo vimekufanya umeacha jukwaa lako kila siku uko hapa
Mancity lazima waepuke ban ,ila Chelsea ni timu ya ujanjaujanja .Mancity to avoid transfer burn